Kwa mtoto mtundu ambaye hasikii fanya hichi kitu

Kwa mtoto mtundu ambaye hasikii fanya hichi kitu

Ila Kuna wengine ni asili.
Kuna watoto hawana asili ya uhalifu kabisa. Hata akulili uswahilini au kwenye mtaa wenye watukutu.

Kuna watoto wanabena viasili vya wazazi hasa baba. Kama baba ni Nunda lazima watoto wawe hivyo hivyo itatumika nguvu kubwa sana kumbadilisha.
Watoto wasio na maadili wanapata ujasiri kutoka Kwa wazazi.

Fimbo ni dawa.
Mama anatakiwa awe mkali kuliko Baba .
Baba anatakiwa awe mkali wa kushtukiza. PIGA fimbo mara Moja Moja kama unapiga Mbwa koko. Mtoto akifanya kosa PIGA kisawasawa akikuona awe anaona kama ameona Simba Mwitu. Akiwa Hana kosa awe rafiki mkubwa. Atajua tofauti kati ya utukufu na utiifu.
 
Hakika amini hili fimbo si mbadala wa kurekebisha tabia ya mtoto.
 
Am sorry,siwezi Malizia Maisha yangu Isanga kisa kufanya brain setting ya mtu.atakula bakora tu zinamtosha.
 
Ukitaka kufia jela basi fuata ushauri wa mleta mada.
 
'Please Junior don't do that...'
'... Junior don't do this...'
'Junior usimchezee Uncle...'

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naunga mkono hoja
Mchelea Mwana kulia, hulia yeye..
Fimbo huondoa ujinga kwa mtoto..
 
Back
Top Bottom