stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Alikuwa anatiwa moyo na vichaa hawa wawili. Putin na Iran..Waturuki wamewasaliti wajukuu wa mtume naona.Sema jamaa naye chenga unakaa madarakani muda wote hivyo na Syria haina kitu kama Monarchy.Imepigwa Aleppo ikabaki majivu jamaa bado alikuwa amekaza fuvu bado tu