Kwa muda mrefu ujao Tanzania haitaweza kupata maendeleo ya maana

Mantiki ya kwanza ya kubadilisha viongozi wa kisiasa au vyama vyakuongoza sio kupata watu wapa kutoka dunia nyingine bali ni ili kujenga uwajibikaji.Haya mambo yote yanafanyika sasa nikwasababu chama chakisiasa kilichoko madarakani toka uhuru kimejimilikisha nchi na kinajichukulia kama chenyewe ndio kila kitu kwenye nchi.Siku kitakapotoka madarakani wakakaa wengine ndio siku tutakapoanza kuona uwajibikaji wadhati wa majukumu ya wanasiasa kwa wanasiasa na vyama vyote.Kwasababu kutakua na ushindani utakaoleta uwajibikaji.
 
Tanzanian leaders are less visionary n short-sighted
 
Wazungu sio mafala kujigawa vi nchi vidogo vidogo , Sisi tung'ang'ania kuwa li nchi likubwa ambalo ni useless, Raisi atokee namtumbo huko hawez kumthamini mtu wa Namanga hata iweje , two different ethnic group , na hii ni nature ...!!
Ufaransa na Tanzania ipi ina eneo la kubwa la km mraba?
 
Tutachelewa kupata maendeleo kwa sababu ya watu kama nyinyi manaoishia kuona tatizo na kulalamika badala ya kutoa suluhu ya namna ya kutatua Hilo tatizo, shame on you
thank you kwa kuliona hilo, mibwege mingi humu ndani inafikra za ujinga na uzembe wa hali ya juu, ingekuwa ni kipindi cha nyerere wote wangenyukwa bakora, majitu mazima ovyoooooo sana
 
Suluhisho ni nini sasa naona una laumu tuu? Au Katiba mpya ? 😆😆
 
Tutachelewa kupata maendeleo kwa sababu ya watu kama nyinyi manaoishia kuona tatizo na kulalamika badala ya kutoa suluhu ya namna ya kutatua Hilo tatizo, shame on you
Nimemuuliza leta Suluhu hana,mwisho wa siku utasikia Katiba mpya 😆😆
 
Wazungu sio mafala kujigawa vi nchi vidogo vidogo , Sisi tung'ang'ania kuwa li nchi likubwa ambalo ni useless, Raisi atokee namtumbo huko hawez kumthamini mtu wa Namanga hata iweje , two different ethnic group , na hii ni nature ...!!
Kwa hiyo hoja yako ni ukabila ,,umefirisika kichwani wewe.
 
Umeongea ukweli mtupu! Na sio Tanzania tu bali subsahara yote.
 
Nimemuuliza leta Suluhu hana,mwisho wa siku utasikia Katiba mpya 😆😆
Ndio inawezekana katiba mpya ni sehemu ya suluhu ya tatizo ikiwa itapatikana kutokana na matakwa ya watu na sio viongonzi hasa wanasiasa katika kuamua namna ya usimamiaji na mgawanyo wa rasilimali za nchi mfano katiba ya 1977 iliandikwa katika misingi ya siasa ya chama kimoja na uchumi wa kijamaa ambapo vyanzo vyote vya uchumi vilikua chini ya umma/serikali tofauti na Sasa tuna vyama vingi na uchumi mseto ambapo kuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari . Kimsingi kufanya mabadiliko ya katiba ili kuendana na nyakati ni suala la kuangalia zaidi kama kweli tunataka maendeleo endelevu kwa Sasa na vizazi vijavyo
 
Wazungu sio mafala kujigawa vi nchi vidogo vidogo , Sisi tung'ang'ania kuwa li nchi likubwa ambalo ni useless, Raisi atokee namtumbo huko hawez kumthamini mtu wa Namanga hata iweje , two different ethnic group , na hii ni nature ...!!
Tanzania sasa inaukubwa gani ujatembea Russia china tusemaje???hii nchi ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…