nishawaambia haya lkn kuna mabwege wabishi kukubali ukweli..hii nchi imekosa maono, imekosa sera endelevu za maendeleo ambazo haziwez effectiwa na wanasiasa wa mihula kila waingiapo.
yaani kila kiongoz apatapo madaraka anachowaza ni kufanya kile kitu kitakachomfanya asifike na chama chake, badara ya kufanya jambo litakalo ikomboa nchi kwa sasa na vizaz vijavyo.
mataifa yaliyoendelea yalkuwa na maono ya muda mrefu ndio matokeo haya waliyonayo tunayaona leo na kuwaonea wivu tujue kuna jitihada kubwa zilifanyika hapo kabla.
hii nchi ili ibadirike, ni lazma ifumuliwe mifumo yote, kuanzia kisiasa, kijamii, kiuchumi, yaan kila kitu kianze upya, ndiomaana hapa unawakuta wale wanao dai katiba mpya, hawa hawana makosa kudai katiba, maana nayo itasaidia kujenga system mpya.
pia ktk masuala ya elimu hapa ndio ttzo lililopo, wale waliosoma hawana tofaut na wasiosoma maana yangu ni kuwa hawa wasomi hawana la maana zaid ya kumiliki vyeti na ajira Full stop, nje ya hapo hawana la maana,
elimu yetu bado iko outdated, yaan tupo bize kusomea kukalili effects of 2world war kwenye shule za A-level kweli hii ni akili?? sasa upuuz kama huo unafaida gani kwa taifa?
kusomea historia ya dunia kwa level ya elimu ya juu kuna msaada gani kwnye taifa.
tupo bize kuwasoma wagunduz wa technology na theories mbalimbali uku tukizikalili badara ya kuunda ama kubuni mibadara sie tuko bize kukalili mawazo yao, na mwanafunzi akijarbu kuwaza nje ya box kwa alichofundishwa anaonekana mjuaji na hufelishwa, sasa kwa namna hii tutaendelea lini?
kama tenda za ujenzi wa madaraja&mabarabara wanapewa wageni wa kichina sis wazawa tuliosomea hayo maujinga ya uinjinia zaid ya miaka 3 chuo na miaka ya sekondary zaid ya 6, sasa kuna faida gan?
kuna umuhimu gan wa kusomea development plan kama taifa halina utekelezaji wa long-term development plan, na hakuna strategies zozote zinazokuwa achieved,
iyo yote nikuwa tupo bize na elimu mbovu isiyo na matokeo, pia hakuna uwajibikaji wowote serkalin zaid ya kutetea maslahi ya wanasiasa na kujivisha madaraka kinguvu.
yaani ili taifa linatakiwa lifumuliwe kwanzia ngazi ya mtendaji mtaa akiwa pamoja na wenyeviti na mabalozi, mpka ngazi ya taifa uko kwa mawazir na rais, yaan mfumo wa uongoz uundwe upya,
pia elimu iundwe upya maana tunachofanya ni kuwapotezea muda wanafunz kusoma elimu useless na kuwaacha mizigo wamalizapo.
masuala ya kijamii pia yalitakiwa kuangaliwa upya kuanzia mitindo ya maisha na mifumo ya imani yaan dini zilizokuja,
hizi imani hazina mema yoyote kwa taifa kama tunavyohubiliwa na hawo viongoz wa dini,
kwaiyo ili taifa liendelee haya masuala nayo lazma yaangaliwe upya, inajulkana kuwa kila jamii huwa na mfumo wa ibada kutokana na mila&desturi zake original tu nasio kukopy kwenye jamii nyingine.
Dini ni kikwazo cha maendeleo, ukitaka ushahidi katizame nchi zote znazoshika mafundsho ya dini kuu yaan ukristo na uislam ambapo baran asia na afrika ndpo kuna %kubwa ya waumin na sehem zote zenye hili jambo kuna maendeleo ya hovyo, migogoro yakipuuzi na upumbavu mkubwa ama ulemavu wa akili unaosababishwa na kuwekewa limitations za kufikilia maendeleo badara yake mtu anawaza maendeleo ya mbinguni after death yaani anaona bora awe masikin dunian kulko kuwaza kufanya kazi ambayo italeta tija na urithi mzuri kwa kizaz chake cha baadae, yeye unamkuta bize makanisan na misikitin akikesha kumuomba Mungu ambaye ni uselessness hana huruma wala msaada wowote.
kwahiyo taifa ili kuendele si kiwepes namna hivyo watu wanavyofikir, yaan mtabadirisha kila aina ya kiongozi kutoka chama chochote kile na awe na elimu ya aina yoyote ile, kama hakutokuwa na mabadiriko ya aina hii, basi tutazid kupoteza muda hapa dunian tukiwasindikiza mataifa makubwa kwa kuwaona miungu watu, eeh wao wanatusua sisi bado tuko nyuma.
maendeleo yana formula zake ili yafikiwe lazma izo formula zitumike ipasavyo, na znatumika kitofauti kulingana na jamii husika,
si kila walichofanya akina fulani basi nawew ufanye, mfano kwa uongozi wa demokrasia nchi za afrika kutumika ipasavyo ili kuleta maendeleo hapa ni UONGO,
mfumo huu hautowai kamweee kuifaa afrika, maana Africa kiuhalisia ni originally by Kingship leadership na inayowafaa kuwaongoza kiimla ili wawajibike ipasavyo, izo demokrasia ni michezo ya wazungu kubadirishana na hata uko Asia hawaitaki maana wanajua demokrasia si chanzo cha maendeleo,
chanzo cha maendeleo ni kutilia mkazo kwenye asili ya jamii tu.