Uchaguzi 2020 Kwa muelekeo wa hotuba ya Lissu CHADEMA hakiwajui Watanzania kinaweza kisipate hata nusu ya kura ilizopata 2015

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Nazani miaka ya 2013 nilisema humu CCM huendeshwa kisay ransi na kinajua namna ya kuendesha siasa kuliko Chadema Ila mashabiki wa siasa na so wachambuzi walikuja na kashfa na kejeli na wanazani mbinu ya kusaidia chama NI kukisifu tu mitandaoni na sio kukipa mbinu mbadala. Wajue hawaendi kufanya kampeni kwa watu wenye shahada za Oxford.

Sifa za kijinga huwabwetesha Viongozi na wanasiasa wengi na hapa wote husahau jukumu muhimu kuunda siasa Safi ya kuisaidia nchi kupiga hatua.

Kama ilivyo CCM watafuta maslahi wanavyohaha kutunga mashauri na mapambio kusifu Mwenyekiti wao na kumpa sifa nyingi na hata kujifanya wanataka atawale milele ili waonekane na wapate hisani ya vyeo au kulinda vyeo vyao ndivyo wanachadema wanavyohaha kwenye mitandao kumsifu na kumpa sifa tundu Lissu kuwa jembe wakati Tundu wakati wote huwasemea watu wa chama CHAKE ZAIDI sio kundi kubwa la watanzania ambao NI wakulima na wafanyakazi.

CCM wamekuwa mafundi wa kufanya kampeni kulingana na Hali, Akili na mawazo ya watanzania. Kuna vitu wakifanya kwenye kampeni Chadema hulalamika eti msiwafanye watanzania wajinga. Ivi Chadema wanaelewa siasa kweli!? Nani aliwaambia watanzania sio wajinga?!!.. nyerere alisema anapigana na maadui watatu na ujinga alimuweka namba moja. Chadema wanatakiwa wawajue kuwa wanaenda kufanya kampeni kwenye kundi la wajinga wengi Sana kuliko waelewa, na Sasa hao waelewa wachache wanaangalia sehemu salama wao kusimamia kwa Aina ya siasa za Sasa.

Haya maeneo ndio CCM inavyokwenda kufanya vizuri na kuipiku Chadema kwa mbali.

1.CCM wakati wote huanza kampeni wakiwa wamoja na huku wakiwaacha wapinzani na majeraha ya mpasuko na hoja nyingi za kujibu juu ya mipasuko yao na kuacha kuzungumzia Sera zao.

2.CCM hutumia kila nguvu kuwa na washabiki, viongozi wa dini, wanamziki wakubwa, wachekeshaji na wasanii mbalimbali. Hapa Chadema huanzisha ajenda dhidi ya hao Viongozi wa dini, wasanii na vitu vingine na kuacha ajenda ya kuwasemea watanzania.

3. CCM wakiwa wanaonesha mafanikio waliyoyapata ambayo sio haba Kama miladi ya hospital, maji na elimu japokuwa NI kwa uhisani wa nje lkn usimamizi makini miradi imekuwa na ubora mkubwa kipindi hiki. Bado watazungumzia Ndege, ukarabati wa meli kubwa ziwa Victoria na vivuko kibao, miladi ya treni na bwawa, Chadema hawatakuwa na hoja zenye nguvu kubalansi vitu hivyo kwa Chadema hii ya Tundu.

4. Wajue hawatakuwa na fursa sawa ya kuchukuliwa na vyombo kuelekea uchaguzi Unaweza kukuta kampeni mzima wanaishia kulalamika polosi, tume, mahakama na hata jeshi uko mbele Kama ilibidi na kusaahau kumsemea mkulima na mfanyakazi ambaye ndie mtanzania.

Mi NI mtanzania nisie na chama lkn NI mpenzi wa asili wa CCM hasili inayoamini kwenye siasa Safi na kusema ukweli tu na kuacha unafiki. Napenda Chadema kiimalike Sana ili kujenga CCM imara.

hivyo ushauri wangu kwa Chadema NI huu.

1. Kampeni mzima itumie kuelezea Sera zake huku ikilinganisha na madhaifu ya utawala wa CCM sio kukosoa tu bila kuonesha njia. Narudia Anza na Sera na madhaifu ya utawala yaje kwenye ulinganisho.
nilipenda hoja ya serikali kutokufanya biashara ya Tundu(hii ndio Sera ya Chadema) nadharia yake NI rahisi kmnalinganisha na biashara serikali inazofanya zinavyoigarimu na kugarimu wananchi mfano ATCL ilivyopandisha Bei za nauli (kwa mifano wazi kumbuka mnaenda kuongea na wajinga wengi) za Ndege na kuwaondoa fast jet. Jinsi Benki zinazosimamiwa na serikali zinavyofanya vibaya usipokuwa nmb ambayo management yake NI wasouth. Au ttcl ukilinganisha na voda. Au ununuzi wa mazao( korosho mtwala)

2. Lazima mjikite kwa ZAIDI ya asilimia tisini kuwasemea wakulima na wafanyakazi. MUIMBE NYIMBO ZAO. Mchukue uhusika wao wapo na vitu vingi moyoni na Kama hakuna anayeviona wote huishia kuimba na kusifu. Kweli binafsi namjua Alfonsi Mawazo na Saa nane. Nayafahamu magumu waliyopitia lakini je watanzania Hawa watapenda kusikia habari za mawazo kuliko uonevu wanaoupata kwenye viwanda!??? Walimu wa Private wanavyokopwa mishahara , kunyimwa mikataba na kufuzwa holela na kutokuwa na mikataba. Kutowekewa chochote kwenye mafao ya uzeeni na vingine vingi Watanzania Hawa walio kwenye wimbi la ujinga na masikini watavutiwa kweli na maelezo jinsi lisasi zilivyokuwa zinapigwa kwa tundu lissu kuliko kuhakikishiwa uhakika wa masoko huria na Bei nzuri za kahawa Kagera kuliko Uganda!? Sikatai mliumizwa au kuumizana Basi hayo maumivu yenu myafunge kwenye Sera ili ionekane mnaumizwa wote. Mnaweza kuwa wazuri kweli lkn sio rahisi kushinda. Ata mkishindwa muwe mmejenga hoja ambazo hazitasahaulika kwa watanzania mfano mnataka kutaja ilivyotokea kwa mawazo. Alfonsi mawazo asiwe hoja Ila awe NDANI ya hoja inayogusa mtanzania moja kwa moja mfano "Alifonsi Mawazo wakati wote alihimiza na kupigania wakulima, hakutaka wakulima wakopwe ata Senti. Wanunuzi NI matajili vipi wawakope masikini mazao. Katika soko huria wafanyabiasha tutawawekea mazingira mazuri mno ya kukopa kwenye mabenki na mkulima na mnunuzi wabadilishane fedha na mazao ya biashara mkono kwa mkono. Alipinga pia ushirika unavyokopa na hata kuzurumu baadhi ya wakulima lkn malipo yake yalikuwa kuchalazwa mapanga. Rip Mawazo."

Sio kuwa napenda Chadema iingie Madarakani hapana. Sipendi kwasababu kila nikiwasikilza wengi wao huzungunzia yao tu na naamini hawajui kero hasa za watanzania. Ila sipendi muelekeo wa siasa za Sasa za kushindana kusifu na kutukanana kwenye mitandao na kuacha nyufa kubwa kwa watanzania. Nataka tushindane kuwasemea watanzania na atakaeshinda moja kwa moja akashugulike na kero za watanzania. Tukishindana kuchafuana, kukashifiana au kutukanana atakae shinda ataanza kumshugulikia mwenzake na sio kushugulika na watanzania.

IKIWA WOTE LENGO LETU NI MOJA KUJENGA NCHI YETU TZ TUKUBALI KUWA WAMOJA HUKU TUKITOFAUTIANA MAWAZO.
 
Nuksi ya taifa hili ni ccm hivyo lazima itoke 2
 
Umeandika kitaaluma zaidi mkuu. Binafsi nimekuelewa sana. Ninachosikitika ni kwamba wanasiasa wengi hawatatuliza kichwa ili kuelewa hoja zako.
Ni dhahiri wapiga kura wengi huchuja pumba na nafaka. Ilani za vyama hujaa malalamiko tuu bila kuleta DIRA ambayo inonesha uthabiti wa chama hicho kuliongoza taifa katika kuzifikia njozi za maendeleo.
Wanasiasa tujaribuni kuweka kando matusi na kashifa tujenge hoja safi ambazo ni rahisi kuzielewa. Tupate mawazo mbadala katika kila hoja.
 
Mleta mada unaelewa ni kwanini una wachangiaji 9 hapa?.
Ina maana hawakubaliani na wewe,so jiongeze
 
Ushauri mzuri sana huu. Hakuna kipindi ambacho upinzani watakuwa na hoja nyingi kama kipindi hiki swala la msingi ni kujua namna ya kuwasilisha hoja hizo.
 
Wazee waliokusoma wengi wadhakufa Sasa Hawa vijana wa kijidikali hawana habari na hiyo CCM yako ya analojia. Yaani kelele ndio mtapiga Sana ebu fikiria majembe yenu ndio kina Musukuma na Ally Appi
 
Lissu ameshindwa kabla hata ya uchaguzi na moja ya mambo yatayomwangusha kwanza ni kushindwa kutokea kwenye kesi zake kwa kisingizio cha kuhofia usalama wake yeye kama mwanashera anajua kuwa ni adhabu gani anapewa mtu akiruka dhamana.
Jambo la pili ni kufikiria kuwa mataifa ya nje yanaweza kumfanya kuwa rais matamko yake ya kukutana na watu wanajishirikisha na mapenzi ya jinsia moja na yeye kuunga mkono itakuwa turufu kubwa kwa ccm wataitumia kuonyesha huyu mtu ni hatari kwa jamii ya kitanzania.
 
Unabwabwaja sana ila mkitoa hio tume ya chato mkaweka tume huru basi ccm hamtoboi na hilo wakubwa wako wanalijua ww kilaza hujui
 
Hongera inaonekana wewe ndio unawajua watanzania, wote umewalea wewe!!
 
Nazani miaka ya 2013 nilisema humu CCM huendeshwa kisay ransi na kinajua namna ya kuendesha siasa kuliko Chadema Ila mashabiki wa siasa na so wachambuzi walikuja na kashfa na kejeli na wanazani mbinu ya kusaidia chama NI kukisifu tu mitandaoni na sio kukipa mbinu mbadala. Wajue hawaendi kufanya kampeni kwa watu wenye shahada za Oxford.

Sifa za kijinga huwabwetesha Viongozi na wanasiasa wengi na hapa wote husahau jukumu muhimu kuunda siasa Safi ya kuisaidia nchi kupiga hatua.

Kama ilivyo CCM watafuta maslahi wanavyohaha kutunga mashauri na mapambio kusifu Mwenyekiti wao na kumpa sifa nyingi na hata kujifanya wanataka atawale milele ili waonekane na wapate hisani ya vyeo au kulinda vyeo vyao ndivyo wanachadema wanavyohaha kwenye mitandao kumsifu na kumpa sifa tundu Lissu kuwa jembe wakati Tundu wakati wote huwasemea watu wa chama CHAKE ZAIDI sio kundi kubwa la watanzania ambao NI wakulima na wafanyakazi.

CCM wamekuwa mafundi wa kufanya kampeni kulingana na Hali, Akili na mawazo ya watanzania. Kuna vitu wakifanya kwenye kampeni Chadema hulalamika eti msiwafanye watanzania wajinga. Ivi Chadema wanaelewa siasa kweli!? Nani aliwaambia watanzania sio wajinga?!!.. nyerere alisema anapigana na maadui watatu na ujinga alimuweka namba moja. Chadema wanatakiwa wawajue kuwa wanaenda kufanya kampeni kwenye kundi la wajinga wengi Sana kuliko waelewa, na Sasa hao waelewa wachache wanaangalia sehemu salama wao kusimamia kwa Aina ya siasa za Sasa.

Haya maeneo ndio CCM inavyokwenda kufanya vizuri na kuipiku Chadema kwa mbali.

1.CCM wakati wote huanza kampeni wakiwa wamoja na huku wakiwaacha wapinzani na majeraha ya mpasuko na hoja nyingi za kujibu juu ya mipasuko yao na kuacha kuzungumzia Sera zao.

2.CCM hutumia kila nguvu kuwa na washabiki, viongozi wa dini, wanamziki wakubwa, wachekeshaji na wasanii mbalimbali. Hapa Chadema huanzisha ajenda dhidi ya hao Viongozi wa dini, wasanii na vitu vingine na kuacha ajenda ya kuwasemea watanzania.

3. CCM wakiwa wanaonesha mafanikio waliyoyapata ambayo sio haba Kama miladi ya hospital, maji na elimu japokuwa NI kwa uhisani wa nje lkn usimamizi makini miradi imekuwa na ubora mkubwa kipindi hiki. Bado watazungumzia Ndege, ukarabati wa meli kubwa ziwa Victoria na vivuko kibao, miladi ya treni na bwawa, Chadema hawatakuwa na hoja zenye nguvu kubalansi vitu hivyo kwa Chadema hii ya Tundu.

4. Wajue hawatakuwa na fursa sawa ya kuchukuliwa na vyombo kuelekea uchaguzi Unaweza kukuta kampeni mzima wanaishia kulalamika polosi, tume, mahakama na hata jeshi uko mbele Kama ilibidi na kusaahau kumsemea mkulima na mfanyakazi ambaye ndie mtanzania.

Mi NI mtanzania nisie na chama lkn NI mpenzi wa asili wa CCM hasili inayoamini kwenye siasa Safi na kusema ukweli tu na kuacha unafiki. Napenda Chadema kiimalike Sana ili kujenga CCM imara.

hivyo ushauri wangu kwa Chadema NI huu.

1. Kampeni mzima itumie kuelezea Sera zake huku ikilinganisha na madhaifu ya utawala wa CCM sio kukosoa tu bila kuonesha njia. Narudia Anza na Sera na madhaifu ya utawala yaje kwenye ulinganisho.
nilipenda hoja ya serikali kutokufanya biashara ya Tundu(hii ndio Sera ya Chadema) nadharia yake NI rahisi kmnalinganisha na biashara serikali inazofanya zinavyoigarimu na kugarimu wananchi mfano ATCL ilivyopandisha Bei za nauli (kwa mifano wazi kumbuka mnaenda kuongea na wajinga wengi) za Ndege na kuwaondoa fast jet. Jinsi Benki zinazosimamiwa na serikali zinavyofanya vibaya usipokuwa nmb ambayo management yake NI wasouth. Au ttcl ukilinganisha na voda. Au ununuzi wa mazao( korosho mtwala)

2. Lazima mjikite kwa ZAIDI ya asilimia tisini kuwasemea wakulima na wafanyakazi. MUIMBE NYIMBO ZAO. Mchukue uhusika wao wapo na vitu vingi moyoni na Kama hakuna anayeviona wote huishia kuimba na kusifu. Kweli binafsi namjua Alfonsi Mawazo na Saa nane. Nayafahamu magumu waliyopitia lakini je watanzania Hawa watapenda kusikia habari za mawazo kuliko uonevu wanaoupata kwenye viwanda!??? Walimu wa Private wanavyokopwa mishahara , kunyimwa mikataba na kufuzwa holela na kutokuwa na mikataba. Kutowekewa chochote kwenye mafao ya uzeeni na vingine vingi Watanzania Hawa walio kwenye wimbi la ujinga na masikini watavutiwa kweli na maelezo jinsi lisasi zilivyokuwa zinapigwa kwa tundu lissu kuliko kuhakikishiwa uhakika wa masoko huria na Bei nzuri za kahawa Kagera kuliko Uganda!? Sikatai mliumizwa au kuumizana Basi hayo maumivu yenu myafunge kwenye Sera ili ionekane mnaumizwa wote. Mnaweza kuwa wazuri kweli lkn sio rahisi kushinda. Ata mkishindwa muwe mmejenga hoja ambazo hazitasahaulika kwa watanzania mfano mnataka kutaja ilivyotokea kwa mawazo. Alfonsi mawazo asiwe hoja Ila awe NDANI ya hoja inayogusa mtanzania moja kwa moja mfano "Alifonsi Mawazo wakati wote alihimiza na kupigania wakulima, hakutaka wakulima wakopwe ata Senti. Wanunuzi NI matajili vipi wawakope masikini mazao. Katika soko huria wafanyabiasha tutawawekea mazingira mazuri mno ya kukopa kwenye mabenki na mkulima na mnunuzi wabadilishane fedha na mazao ya biashara mkono kwa mkono. Alipinga pia ushirika unavyokopa na hata kuzurumu baadhi ya wakulima lkn malipo yake yalikuwa kuchalazwa mapanga. Rip Mawazo."

Sio kuwa napenda Chadema iingie Madarakani hapana. Sipendi kwasababu kila nikiwasikilza wengi wao huzungunzia yao tu na naamini hawajui kero hasa za watanzania. Ila sipendi muelekeo wa siasa za Sasa za kushindana kusifu na kutukanana kwenye mitandao na kuacha nyufa kubwa kwa watanzania. Nataka tushindane kuwasemea watanzania na atakaeshinda moja kwa moja akashugulike na kero za watanzania. Tukishindana kuchafuana, kukashifiana au kutukanana atakae shinda ataanza kumshugulikia mwenzake na sio kushugulika na watanzania.

IKIWA WOTE LENGO LETU NI MOJA KUJENGA NCHI YETU TZ TUKUBALI KUWA WAMOJA HUKU TUKITOFAUTIANA MAWAZO.
Mtoa post ww huwajui wa tanzania, wa tanzania wa sasa si wa mwaka 1947,mambo hubadilika usitegemee hivyo kadri miaka inavyozidi Kwenda na ndivyo ufahamu wa mambo unavyozidi kubadilka.
 
Back
Top Bottom