Kwa mujibu wa Humphrey Polepole, muda wa kufanya Reform bado upo na Tundu Lissu aachiewe

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Ktk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake.

Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama swala hilo litafanyika kwa maslahi ya Nchi.

Pia ameongeza kwa kumuomba na kumsihi Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu aweze kuwezesha Mchakato Tundy Lissu aachiwe huru na Nchi iendelee kutamalaki Amani, umoja na mshikamano.
 
Ktk Hotuba za Humpgrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufajya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake.

Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama swala hilo litafanyika kwa maslahi ya Nchi.

Pia ameongeza kwa kumuomba na kumsihi Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu aweze kuwezesha Mchakato Tundy Lissu aachiwe huru na Nchi iendelee kutamalaki Amani, umoja na mshikamano.
Kwa yanayoendelea kila mtu anahitaji reforms, na reform itamfikia kila mtu kwa wakati wake
 
Basi atakuwa ni mtu mjanja mjanja
Ni mjanja mjanja tu huyu, chadema wakiingia kichwa kichwa na hii movement yake majibu watayapata baadae , pokepole kashakua tayari kujoin hands na adui kupambana na adui wake
 
Ktk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake.

Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama swala hilo litafanyika kwa maslahi ya Nchi.

Pia ameongeza kwa kumuomba na kumsihi Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu aweze kuwezesha Mchakato Tundy Lissu aachiwe huru na Nchi iendelee kutamalaki Amani, umoja na mshikamano.
Mh!
Polepole wa kumuomba Samia kweli!?
Hapana. Polepole anweza kufanya mwenyewe tu, hana haja ya kumwomba Rais.
 
Ktk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake.

Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama swala hilo litafanyika kwa maslahi ya Nchi.

Pia ameongeza kwa kumuomba na kumsihi Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu aweze kuwezesha Mchakato Tundy Lissu aachiwe huru na Nchi iendelee kutamalaki Amani, umoja na mshikamano.
Anasema lazima tumwage oil
 
Mkuu, kwamba anataka uteuzi TAL akiapishwa?
THeory nayoenda nayo hapa anataka kuungwa mkono kwenye kampenu yake ya kumuengua SSH, suala la TAL kuapishwa kwa uchaguzi huu wa 2025 ni jambo la miujiza na inaniwia ugumu kuamini maana Museveni namuona madarakani, Lukashenko namuona, Netanyahu namuona na wadau wao wengine --- hivyo hapa SSH naye atapiga Landslide victory tu kama 2020 tu

Polepole yeye anakitakia chama chake ushindi ila anamgombea wake mfukoni
 
Ni mjanja mjanja tu huyu, chadema wakiingia kichwa kichwa na hii movement yake majibu watayapata baadae , pokepole kashakua tayari kujoin hands na adui kupambana na adui wake
Mkuu Chadema watapigana vita vingapi?

Wao wana focus na vita moja tu Reforms.
Wao wako tayari kuungana na mzalendo yeyote anayeitakia Nchi mabadiliko yenye tija. Hawawezi kuanza kupingana na kila mtu wata miss target
 
  • Thanks
Reactions: Lax

Changamoto sana kwa kweli
 
Alimanisha ni Mwaka wa CCM kufanya mabadilio kwa mujibu wa Tamaduni, mila na desturi ya chama chao
Yaelekea kuna mtu amekaza bolt haifunguki wakilazimisha watachana sample
 
Ktk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake.

Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama swala hilo litafanyika kwa maslahi ya Nchi.

Pia ameongeza kwa kumuomba na kumsihi Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu aweze kuwezesha Mchakato Tundy Lissu aachiwe huru na Nchi iendelee kutamalaki Amani, umoja na mshikamano.
Haya mapumbavu sahv kila kt polepole, huyo nguchiro mnakutana naye wapi? Yaani kuna majinga ni aibu
 
Alimanisha ni Mwaka wa CCM kufanya mabadilio kwa mujibu wa Tamaduni, mila na desturi ya chama chao
kwa mujibu wa Bwana Polepole, Mama Samia ni "oil chafu inayotakiwa kumwagwa" kama yale madude yanayo mtokaga mwanamume akiwa anaongea lugha za roho mtakatifu na kujisemezea mambo asiyo yajua na kujimwambafi katika vifua vya akina mama...
 
Ktk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake.

Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama swala hilo litafanyika kwa maslahi ya Nchi.

Pia ameongeza kwa kumuomba na kumsihi Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu aweze kuwezesha Mchakato Tundy Lissu aachiwe huru na Nchi iendelee kutamalaki Amani, umoja na mshikamano.
Mama ashauriwe asimwachie LISSU ili hasira zetu watanzania wote zikolee zaida maradufu ili siku ya uchaguzi kinuke vzr ,muda wa reforms upo tena ni mwingi mpaka unamwagika.
 
Polepole anajikuta mwanamkakati sana, anavizia support ya chadema kimkakati sana [emoji1787],

2025 nzuri sana[emoji16]
Na chadema walivyo wajinga na muda wa kupoteza wataachana na mambo yao ya msingi watahamia kwenye kurasa za polepole.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Back
Top Bottom