Ktk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake.
Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama swala hilo litafanyika kwa maslahi ya Nchi.
Pia ameongeza kwa kumuomba na kumsihi Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu aweze kuwezesha Mchakato Tundy Lissu aachiwe huru na Nchi iendelee kutamalaki Amani, umoja na mshikamano.