Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kwa yanayoendelea kila mtu anahitaji reforms, na reform itamfikia kila mtu kwa wakati wakeKtk Hotuba za Humpgrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufajya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake.
Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama swala hilo litafanyika kwa maslahi ya Nchi.
Pia ameongeza kwa kumuomba na kumsihi Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu aweze kuwezesha Mchakato Tundy Lissu aachiwe huru na Nchi iendelee kutamalaki Amani, umoja na mshikamano.
Basi atakuwa ni mtu mjanja mjanjaPolepole anajikuta mwanamkakati sana, anavizia support ya chadema kimkakati sana 🤣,
2025 nzuri sana😁
Ni mjanja mjanja tu huyu, chadema wakiingia kichwa kichwa na hii movement yake majibu watayapata baadae , pokepole kashakua tayari kujoin hands na adui kupambana na adui wakeBasi atakuwa ni mtu mjanja mjanja
Mh!Ktk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake.
Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama swala hilo litafanyika kwa maslahi ya Nchi.
Pia ameongeza kwa kumuomba na kumsihi Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu aweze kuwezesha Mchakato Tundy Lissu aachiwe huru na Nchi iendelee kutamalaki Amani, umoja na mshikamano.
Mkuu, kwamba anataka uteuzi TAL akiapishwa?Polepole anajikuta mwanamkakati sana, anavizia support ya chadema kimkakati sana 🤣,
2025 nzuri sana😁
Anasema lazima tumwage oilKtk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake.
Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama swala hilo litafanyika kwa maslahi ya Nchi.
Pia ameongeza kwa kumuomba na kumsihi Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu aweze kuwezesha Mchakato Tundy Lissu aachiwe huru na Nchi iendelee kutamalaki Amani, umoja na mshikamano.
THeory nayoenda nayo hapa anataka kuungwa mkono kwenye kampenu yake ya kumuengua SSH, suala la TAL kuapishwa kwa uchaguzi huu wa 2025 ni jambo la miujiza na inaniwia ugumu kuamini maana Museveni namuona madarakani, Lukashenko namuona, Netanyahu namuona na wadau wao wengine --- hivyo hapa SSH naye atapiga Landslide victory tu kama 2020 tuMkuu, kwamba anataka uteuzi TAL akiapishwa?
Alimanisha ni Mwaka wa CCM kufanya mabadilio kwa mujibu wa Tamaduni, mila na desturi ya chama chaoAnasema lazima tumwage oil
Duuh....hahahaPolepole yeye anakitakia chama chake ushindi ila anamgombea wake mfukon
Mkuu Chadema watapigana vita vingapi?Ni mjanja mjanja tu huyu, chadema wakiingia kichwa kichwa na hii movement yake majibu watayapata baadae , pokepole kashakua tayari kujoin hands na adui kupambana na adui wake
Changamoto sana kwa kweliMkuu Chadema watapigana vita vingapi?
Wao wana focus na vita moja tu Reforms.
Wao wako tayari kuungana na mzalendo yeyote anayeitakia Nchi mabadiliko yenye tija. Hawawezi kuanza kupingana na kila mtu wata miss target
Yaelekea kuna mtu amekaza bolt haifunguki wakilazimisha watachana sampleAlimanisha ni Mwaka wa CCM kufanya mabadilio kwa mujibu wa Tamaduni, mila na desturi ya chama chao
Na ni Reform gani anaihitajii Lissu?Kwa yanayoendelea kila mtu anahitaji reforms, na reform itamfikia kila mtu kwa wakati wake
Haya mapumbavu sahv kila kt polepole, huyo nguchiro mnakutana naye wapi? Yaani kuna majinga ni aibuKtk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake.
Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama swala hilo litafanyika kwa maslahi ya Nchi.
Pia ameongeza kwa kumuomba na kumsihi Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu aweze kuwezesha Mchakato Tundy Lissu aachiwe huru na Nchi iendelee kutamalaki Amani, umoja na mshikamano.
kwa mujibu wa Bwana Polepole, Mama Samia ni "oil chafu inayotakiwa kumwagwa" kama yale madude yanayo mtokaga mwanamume akiwa anaongea lugha za roho mtakatifu na kujisemezea mambo asiyo yajua na kujimwambafi katika vifua vya akina mama...Alimanisha ni Mwaka wa CCM kufanya mabadilio kwa mujibu wa Tamaduni, mila na desturi ya chama chao
Mama ashauriwe asimwachie LISSU ili hasira zetu watanzania wote zikolee zaida maradufu ili siku ya uchaguzi kinuke vzr ,muda wa reforms upo tena ni mwingi mpaka unamwagika.Ktk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake.
Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama swala hilo litafanyika kwa maslahi ya Nchi.
Pia ameongeza kwa kumuomba na kumsihi Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu aweze kuwezesha Mchakato Tundy Lissu aachiwe huru na Nchi iendelee kutamalaki Amani, umoja na mshikamano.
Na chadema walivyo wajinga na muda wa kupoteza wataachana na mambo yao ya msingi watahamia kwenye kurasa za polepole.Polepole anajikuta mwanamkakati sana, anavizia support ya chadema kimkakati sana [emoji1787],
2025 nzuri sana[emoji16]