Ndugu zangu,
Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT.
Fuatilia mwenyewe hapa chini,Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.
View attachment 1606498
Zitto Kabwe ambao hamumwelewi hakuna mahali alipoenda kufanya kazi akapaacha salama, yeye kazi yake ni kusaliti tu.
1. Aliitasiliti Chadema na Mbowe.
2. Aliisaliti nchi na Wananchi Wananchi wote.
3. Ameisaliti Katiba iliyoipa nguvu Act wazalendo kusajiliwa na msajili wa Vyama vya siasa.
4. Aliwasaliti Madiwani wote wa Manispaa ya Kigoma ujiji akiwa Mbunge alipewa Rushwa Milioni 800 kwa ajili ya kuwagawia Madiwani wa Act wazalendo zote alizihifadhi kwenye akaunti ya Mke wake aitwaye Anna, na ndizo anazozitumia kutoa rushwa.
5. Aliisaliti Kigoma aliandika andiko la kuikataa Miradi ya Barabara iliyojengwa Manispaa ya Kigoma ujiji ( Lakini JPM alimtandika za Uso Uso saizi Kigoma kuchele Mambo ni saafi).
6. Zitto Kabwe aliwasaliti ndugu zake, kwenye ukoo wao Hakuna kitu kinaitwa Mwami (Hana sifa hizo kwa mila za Kiha, ), ndugu zake walimkataa na wengi amewafanya ndondocha mmoja mpaka amekuwa Mwizi mpaka anajiibia na Mwenyewe ( Aliiba Milango ya nyumba yao pale Mwanga Mwanga saizi kama pagala).
7. Zitto Kabwe amewasaliti Wafuasi wake aliowahonga kumpokea alivyotoka Matibabu ( Kuna Dogo Bodaboda mpaka amesaidiwa na KIRUMBE Ng'enda na Zitto Kabwe baada ya Kusikia KIRUMBE amemsaidia katoka mbio kwenda kupooza, na anampango wa kumuondoa Kigoma na kwenda kumtelekeza Dar es salaam Muhimbili - Ndugu zake Bodaboda kuweni Makini na huyo Mshirikina Kabwe.