Kwahio unataka muumini ya anaeswali sala tano maisha yake awe sawa na muumini anaye sali Leo kesho humuoni kesho kutwa muumini kesho yake kimya mpaka Ramadan, Uislam ni discipline
Allah atujalie pepo njema, sisi waja wake..Kumbe huko peponi kutakuwa na maskini kama huku duniani. Hili sikulijua mie wallah.
Kwahiyo Allah atakuwa na ubaguzi?
View attachment 3525685
Hakuna shaka siku hio Kuna mzani wa kupima, uzito wa mzani ndio utakuweka Mahali unapostahiliUmeambiwa matajiri wewe unaongea habari za kuswali. Bakhresa ndio atapewa mabikra 72 nyinyi kina Hamorapa inabidi mpange foleni
Hawa jamaa wanawaza mbunye tu hadi msikitini😂😂😂Kumbe huko peponi kutakuwa na maskini kama huku duniani. Hili sikulijua mie wallah.
Kwahiyo Allah atakuwa na ubaguzi?
View attachment 3525685
Hakuna shaka siku hio Kuna mzani wa kupima, uzito wa mzani ndio utakuweka Mahali unapostahili
SalaleeeKumbe huko peponi kutakuwa na maskini kama huku duniani. Hili sikulijua mie wallah.
Kwahiyo Allah atakuwa na ubaguzi?
View attachment 3525685
Anaongelea matajiri wa peponi sio dunianiUmeambiwa matajiri wewe unaongea habari za kuswali. Bakhresa ndio atapewa mabikra 72 nyinyi kina Hamorapa inabidi mpange foleni
Sasa mpaka unapata hamu ya kulombana n kwamba kuna internal force ndani yako inayokufanya utake kufanya mapenzi, wale wa kuimba n kwamba muda wote hiyo internal force tayari imeshapata tiba hvy hakuna haja ya kuendelea nayo.Bora hiyo unaweza pata ka kitu kakukupa raha , kuliko Ile ya wale wanaimbia tu hakuna kula Kuoa Wala kuolewa