Uchaguzi 2020 Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi, aliewekewa pingamizi atajibu hoja mbele ya mweka pingamizi, Lissu na Magufuli uso kwa uso

Na tbc waonyeshe live 🤔.
 
Mambo mengine ya kijinga.unamuengua mtu eti hakuleta passport? this is stupid mambo mengine tunahitaji kutumia busara na siyo kukomoana!! Kama NEC hawawezi wajiuzulu mara moja.
Mbona Jana kwa devota minja hamkusema haya tulieni sheria mlizitunga wenyewe
 
Ccm 22 chadema 0.
Haya nani hali mbaya hapo?

Pingamizi la lisu linatupwa kapuni mapema
Nani kakwambia??? Rufaa zipo tume na kumbuka mbinu mlizotumia dhidi ya wagombea wa CCM ndo hiyo aliyotumia Lissu dhidi ya magufuli.

Sasa Tume ya Uchaguzi dunia inawaangalia. Je wamuokoe magufuli na kuwatosa wagombea wa Chadema au wawaokoe wote???

Mtajua hamjui mwaka huu😂😂😂😂😂

Huyo ndo Tundu Antiphas Lissu 😂😂😂
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Subiri ujionee!

Mwaka huu mtavuna aibu tupu.

Lisu anajifurahisha na kuwafurahisha wafuasi wake
 

Keep on consoling by yourself. Uzuri wenyewe JPM ni balded na hizo options zako hazi muhusu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Subiri ujionee!

Mwaka huu mtavuna aibu tupu.

Lisu anajifurahisha na kuwafurahisha wafuasi wake
Nakwambia nyie CCM ni Chama pinzani baada ya uchaguzi. Amini amini nakwambia
 
Uonevu SASA!? BASI...!! SASA BASI...!! SASA BASI...!!!View attachment 1549069
Naamini hii screenshot ni ya kweli.

Kwahiyo kwenye Tume ya uchaguzi kuna watu wasiojua kuandika kama huyu? Alafu anasema amekagua mpaka nukta, anakaguaje nukta ikiwa kuandika ni tatizo? Basi sishangai maamuzi ya kukosa hekima na busara kama yale.
 

Haya maneno yenu ya kipuuzi tumeyazoe kuyasikia na kusoma tangu 2015 JPM alipopitishwa na CCM kuwa mgombea wa urais. Haya tusumbui hata kidogo.

Miaka karibia 5 mbeleni jamaa leo 2020 ni Rais wa kipigiwa mfano, Tanzania, Afrika na Dunia nzima.
Wako watu Ulaya , USA wana muadmire sanaJPM.

Hapo Congo DRC yuko jamaa nilikutana naye ana clip za hotuba za JPM kwenye simu janja yake. Anasikiliza anasema nyie mko na bahati sana wa Tanzanià. Wako walio kutana na Waghana kwenye mikutano wanaomba wafundishwe maneno angalau mawili matatu ya kiswahili kwa jinsi wanavyo mkubali JPM huko kwao. Unashangaa watu wa akili za aina ya Lissu walio jawa na wivu na husuda ni kueneza propoganda za upotoshaji. Wanajivua akili wanauvaa uwendawazimu.
 
Watuwekee huu mpambano LIVE ili tuone cheche zitakavyoruka. Lissu si wa mchezo mchezo. Je, yesu fake atatokea au atakimbilia chato 😂😂😂😂 kama alivyoikimbia COVID19? 😜

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…