IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Ccm 22 chadema 0.Naona hali zenu mbaya sana leo. Poleni aiseee wana Lumumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya nani hali mbaya hapo?
Pingamizi la lisu linatupwa kapuni mapema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm 22 chadema 0.Naona hali zenu mbaya sana leo. Poleni aiseee wana Lumumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Never Never Never give up .Uonevu SASA!? BASI...!! SASA BASI...!! SASA BASI...!!!View attachment 1549069
Na tbc waonyeshe live 🤔.Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja .
Sasa leo Mhe. Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa kuambatanisha passport size kwenye form yake pia wadhamini wake kuhakikiwa na wasimamizi wasaidizi badala ya TUME yenyewe zaidi alihakikiwa tarehe ambayo haipo kwenye ratiba.
Battle to battle.
Mbona Jana kwa devota minja hamkusema haya tulieni sheria mlizitunga wenyeweMambo mengine ya kijinga.unamuengua mtu eti hakuleta passport? this is stupid mambo mengine tunahitaji kutumia busara na siyo kukomoana!! Kama NEC hawawezi wajiuzulu mara moja.
Nani kakwambia??? Rufaa zipo tume na kumbuka mbinu mlizotumia dhidi ya wagombea wa CCM ndo hiyo aliyotumia Lissu dhidi ya magufuli.Ccm 22 chadema 0.
Haya nani hali mbaya hapo?
Pingamizi la lisu linatupwa kapuni mapema
Leo ikulu hakulaliki atakuwa amewaita wanasheria kabudi,mwakyembe na wote wanajadili wafanyejeMagufuli sijui atajibu nini mbele ya Nguli wa sheria[emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Subiri ujionee!Nani kakwambia??? Rufaa zipo tume na kumbuka mbinu mlizotumia dhidi ya wagombea wa CCM ndo hiyo aliyotumia Lissu dhidi ya magufuli.
Sasa Tume ya Uchaguzi dunia inawaangalia. Je wamuokoe magufuli na kuwatosa wagombea wa Chadema au wawaokoe wote???
Mtajua hamjui mwaka huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ndo Tundu Antiphas Lissu [emoji23][emoji23][emoji23]
Anaheshiwa kama Rais kwa miezi miwili iliyobaki hadi Oktoba 28, 2020....
Kama ana matumaini ya kushinda uchaguzi huu na "labda" awe Rais tena kwa kipindi kinachofuata...
Basi hana option nyingine isipokuwa kufuata na kuzingatia sheria ya uchaguzi inavyomuelekeza kufanya...
Lazima atokee kwenye TUME YA UCHAGUZI na kukabiliana USO kwa USO na "mzimu" wake uitwao TUNDU LISSU alioutengeneza mwenyewe ili kujitetea....
Kwenye hili hakuna kuwakilishwa na wakili. It's you in personal..
Ana siku mbili tu kwenda kujitetea, ya leo tarehe 26/8/2020 na kesho tarehe 27/8/2020...
Ni aidha asuke ama anyoe....
Nakwambia nyie CCM ni Chama pinzani baada ya uchaguzi. Amini amini nakwambia[emoji23] [emoji23] [emoji23] Subiri ujionee!
Mwaka huu mtavuna aibu tupu.
Lisu anajifurahisha na kuwafurahisha wafuasi wake
Anaenda kama Mgombea na sio rais ,kama yeye ni rais basi asingeenda kuchukua fomu,kujaza na kurejesha.
Sibishan na mizombie
Naamini hii screenshot ni ya kweli.Uonevu SASA!? BASI...!! SASA BASI...!! SASA BASI...!!!View attachment 1549069
Hapa ndio pagumu?Mlivyomuengua Devotta Minja kule Morogoro kuwa hakuleta passport size ndio vile vile atakavyoenguliwa
Hilo nalo pingamizi sasa?
Ni kweli, ila form aliyoijaza na akaikosea ameijaza kama mgombea wa kiti cha urais haimtambui yeye kuwa ni RaisRais hawezi kujibizana na LISU hata siku moja. Yeye ni mtu mkubwa mwenye heshima ya nchi.
Duuuh..Hatuna Rais as of the moment, tunawagombea urais.
I see...
You are too emotional & delusional dude...
You have to let your mind digest things before you throw them in air....
Don't forget that, this is a platform of GT. Your arguments seem to be empty and somehow nasty....
BY THE WAY....
Hivi wewe ndiye Campaign planner wa mgombea Urais aitwaye John Pombe Magufuli wa CCM?
Kwa hiyo hizi ndizo hoja zenu za kushawishi watu mnazozitumia kumnadi huyu mzee mwaka huu?
Duuh, they are too shallow and empty....
Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja .
Sasa leo Mhe. Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa kuambatanisha passport size kwenye form yake pia wadhamini wake kuhakikiwa na wasimamizi wasaidizi badala ya TUME yenyewe zaidi alihakikiwa tarehe ambayo haipo kwenye ratiba.
Battle to battle.