Katashekadm
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 728
- 775
Pingamizi Hadi ikubaliwe na tumeKwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja .
Sasa leo Mhe. Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa kuambatanisha passport size kwenye form yake pia wadhamini wake kuhakikiwa na wasimamizi wasaidizi badala ya TUME yenyewe zaidi alihakikiwa tarehe ambayo haipo kwenye ratiba.
Battle to battle.
Naona umetoka mafichonLissu anajifurahisha tu
Kikatiba Mh.Magufuli kwa sasa ni mgombea urais wa JMT mwenye rank sawa kabisa na HASHIM RUNGWE SPUNDA au LIPUMBA
Kwa nchi yetu na kwa mazingira yalivyo, binafsi sikumpigia kura Magufuli 2015, ila kuna mambo nimemuelewa hasa suala la COVID19, amefanya vyema na vipo vingine, japo uchaguzi huu SITAPIGA KURA kutokana na utoto mwingi na siasa uchwara ila tafadhali badili kauli yako ULAYA NA USA WANAMTAMANI JPM?Haya maneno yenu ya kipuuzi tumeyazoe kuyasikia na kusoma tangu 2015 JPM alipopitishwa na CCM kuwa mgombea wa urais. Haya tusumbui hata kidogo.
Miaka karibia 5 mbeleni jamaa leo 2020 ni Rais wa kipigiwa mfano, Tanzania, Afrika na Dunia nzima.
Wako watu Ulaya , USA wana muadmire sanaJPM.
Hapo Congo DRC yuko jamaa nilikutana naye ana clip za hotuba za JPM kwenye simu janja yake. Anasikiliza anasema nyie mko na bahati sana wa Tanzanià. Wako walio kutana na Waghana kwenye mikutano wanaomba wafundishwe maneno angalau mawili matatu ya kiswahili kwa jinsi wanavyo mkubali JPM huko kwao. Unashangaa watu wa akili za aina ya Lissu walio jawa na wivu na husuda ni kueneza propoganda za upotoshaji. Wanajivua akili wanauvaa uwendawazimu.
Lissu anajifurahisha tu
Kwa nchi yetu na kwa mazingira yalivyo, binafsi sikumpigia kura Magufuli 2015, ila kuna mambo nimemuelewa hasa suala la COVID19, amefanya vyema na vipo vingine, japo uchaguzi huu SITAPIGA KURA kutokana na utoto mwingi na siasa uchwara ila tafadhali badili kauli yako ULAYA NA USA WANAMTAMANI JPM?
Wazungu hufuata taratibu na Sheria, Ila kwenye hili ndugu yetu anafeli sana, Jitihada njema ila wazungu hawawezi ongozwa na mtu wa utaratibu kama huu wa JPM.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ehPicha ya Rais si iko hata hapo ukutani kwenye ofisi za tume. Huyo domokrasia ache kupayuka hovyo.
Kama urais wenyewe ni wa kutafuna mahindi mabarabani, heshima yake iko wapi?Rais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
Kama urais wenyewe ni wa kutafuna mahindi mabarabani, heshima yake iko wapi?
Kwa hiyo wauza mahindi ya kuchoma mabarabani siku hizi huwa wanayauza wakiwa na bastola viunoni siyo!!?Ndio akili zenu hizi za ajabu ajabu. Rais anaye kula mahindi njiani tena aliyonunua kumuuingisha mfanyabiasha Baba/Mama lishe mwamuona wa ajabu na mshamba, sio?!
Nyie mnataka Rais wa kutumbua kodi zenu kwa kwenda kupiga picha Newcastle UK au kwenda kushangaa uwanja Real Madrid. Huyo ndio wa mjini sio?!
Mbona limeondoa wateuliwa kugombea wa upinzani na kuwafanya wa chama kile kuwa wabunge wateule wasubirio kiapo?Hilo nalo pingamizi sasa?
MpuuziNimeumbwa kwa mfano wa Mungu, jua hilo.
Kwa hiyo wauza mahindi ya kuchoma mabarabani siku hizi huwa wanayauza wakiwa na bastola viunoni siyo!!?
Nimekupuuza ba kukusanehe, hujui ulitendalo wewe.Mpuuzi
Moto Mchubuyu akaweke pingamizi kwa watatuliwa marinda huko alipotokaKwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja.
Sasa leo Mhe. Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa kuambatanisha passport size kwenye form yake pia wadhamini wake kuhakikiwa na wasimamizi wasaidizi badala ya TUME yenyewe zaidi alihakikiwa tarehe ambayo haipo kwenye ratiba.
Battle to battle.
Nasikia kuna majibu haya toka tume ya uchaguzi??Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja.
Sasa leo Mhe. Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa kuambatanisha passport size kwenye form yake pia wadhamini wake kuhakikiwa na wasimamizi wasaidizi badala ya TUME yenyewe zaidi alihakikiwa tarehe ambayo haipo kwenye ratiba.
Battle to battle.
Mpaka tume Ione mweka Pingamizi ana Jambo la msingi ndipo itakapomwita aje kujibu.. huwezi kwenda tume ukampinga mgombea kuwa Hana masikio mawili au ana makengeza alafu tume ikuchukulie serious.Acha uongo pingamizi halitupwi hadi mgombea aje kujibu
HahaahDuh.... This Lissu sasa ananitisha hata mimi ... sio kwa guts hizi... [emoji2][emoji2][emoji23]