Katashekadm
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 728
- 775
Pingamizi Hadi ikubaliwe na tumeKwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja .
Sasa leo Mhe. Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa kuambatanisha passport size kwenye form yake pia wadhamini wake kuhakikiwa na wasimamizi wasaidizi badala ya TUME yenyewe zaidi alihakikiwa tarehe ambayo haipo kwenye ratiba.
Battle to battle.
Kama Haina mashiko inatupwa