Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
100%[emoji736]Maiti iliyofufuka haigopi kifo
Hata huko Marekani ambako tumekopa demokrasia Rais wa nchi anakuwa hadi pale anapokabidhi kwa Rais mpya baada ya kiapo. Yaani bendera ya nchi inashushwa na kupandisha tena. Kwa makini Lissu anawapotosha sana vijana wakati yeye akijua kabisa hilo.Nchi ya wapi, kwa sasa hakuna rais bali kuna wagombea wa urais, lijue hilo sister.
Pingamizi hazina maana kabisa hii na kijinga tu, hivi focus ya CDM ni ndogo hivi?
Rais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
Kama wamemuondoa Minja Devotha kwa kutoweka passport basi na "JIKONO DANJAMA" naye aenguliwa kwa kuto ambatanisha passport.Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja .
Sasa leo Mhe. Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa kuambatanisha passport size kwenye form yake pia wadhamini wake kuhakikiwa na wasimamizi wasaidizi badala ya TUME yenyewe zaidi alihakikiwa tarehe ambayo haipo kwenye ratiba.
Battle to battle.
Sheria imetamka wazi kuwa kwa kasoro hiyo anatakiwa aenguliwe.Lissu kasoma na kifungu kinachotamka hivyo.Hizo pingamizi za kitoto sana.leta Nyengine.
Anaenda kama Mgombea na sio rais ,kama yeye ni rais basi asingeenda kuchukua fomu,kujaza na kurejesha.Rais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
Sibishan na mizombieYou Idiot usidanganywe huvitenganishi viwili hivi. Mgombea na Urasi. Wagombea ni Lissu na wenzake si JPM.
Kama NEC wakimuacha basi inabidi walioenguliwa wote warudishwe maana kuna wengine wametenda makosa kama ya "JIKONO JANDAMA".Sheria imetamka wazi kuwa kwa kasoro hiyo anatakiwa aenguliwe.Lissu kasoma na kifungu kinachotamka hivyo.
Mungu kaamua kuwatia adabu!!Kama NEC wakimuacha basi inabidi walioenguliwa wote warudishwe maana kuna wengine wametenda makosa kama ya "JIKONO JANDAMA".
Hizo pingamizi za kitoto sana.leta Nyengine.
Hizo pingamizi za kitoto sana leta Nyengine
Kwa hasira nilo nayo kwa huyu kibaraka hata saiz nikipewa bunduki namlipua haijalishi mengine tutajua mbele kwa mbele
Kwa hili inabidi kina lissu wakomae hadi Mwisho ,hakuna Double standard ,Kama kina Devotha Minja wameenguliwa kwa kutokuwa na picha why "JIKONO JANDAMA" aachiwe? Kaijage inabidi amuondoe kwa kukosa sifa (hajatimiza masharti na vigezo).Mungu kaamua kuwatia adabu!!
Jpm hakuweka picha au picha sikio halionekani?Hiyo kali.
Duh. Lissu kibiko. Hapo utashangaa JPM atakavyotokea mpole na kujichekesha chekesha .... Jamaa ni bonge la msanii!!
Sasa kama kuli Morogoro kuna dada inadaiwa amekatwa kwa kuwa hakupeleka picha ..... sasa kuna sababu gani ambayo itamzuia JPM asikatwe kwa kipengere hichohicho.