Uchaguzi 2020 Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi, aliewekewa pingamizi atajibu hoja mbele ya mweka pingamizi, Lissu na Magufuli uso kwa uso

Uchaguzi 2020 Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi, aliewekewa pingamizi atajibu hoja mbele ya mweka pingamizi, Lissu na Magufuli uso kwa uso

Alafu kabla mzee baba hajaenda kujibu hizo hoja, nawashauri mumkutanishe na wale Askari TAL alikua anawagaragazaga kwa maswali mahakamani wampe reheso! Lisu ana maswali magumuuu ohoo, alafu mdharau mwiba!!

Do not make fool out of yourself.
 
Rais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja . Nani Yuko juu ya Sheria?
 
Acha tusogeze siku, lakini mambo mengine hayana mantiki yeyote.

Hizi hoja za kipumbavu ndiyo ziliwafanya CCM wapite bila kupingwa nchi nzima kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa,na uchaguzi huu kuna wagombea wengi wa ubunge na udiwani wa upinzani wameenguliwa kugombea kwa hoja hizi hizi za kitoto.

Jana mlikuwa mnashangilia wabunge wenu kupita bila kupingwa sasa leo kibao kimegeuka kwa mgombea wenu wa uraisi. Haki itendeke Magufuli akatwe kama walivyokatwa wengine mwaka Jana na Jana.
 
Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja . Nani Yuko juu ya Sheria?
Wagombea wote ni sawa mbele ya sheria.
 
Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja .

Sasa leo Mh Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa kuambatanisha passport size kwenye form yake pia wadhamini wake kuhakikiwa na wasimamizi wasaidizi badala ya TUME yenyewe zaidi alihakikiwa tarehe ambayo haipo kwenye ratiba.

Battle to battle.
Patam sana hapo pangekuwa live sijui
 
Atakapotakiwa kwenda kujibu tuhuma basi hiyo kofia ya urais atalazimika kuiacha sebuleni,na anaweza asiikute atakaporudi,atabakia kuwa mwenyekiti wa ccm tu,itauma hiyo!!

Muambieni Lissu anaficha madhaifu yake kupitia upayujaji. Watu makini huwa hatubabaishwi na kupayuka kwake. Tuna msikiliza pointi kwa pointi. Hamna kitu hapo.
 
Natamani hili nalo lioneshwe LIVE kupitia channel yetu ile pendwa. Maana ni kawaida matukio muhimu ya Boss kuoneshwa LIVE. Ngoja tuone na hili
Mwambie atangaze kama ana ubavu huo. Hivi sasa anawaza jinsi ya kukabiliana na hoja za Tundu Lisu na kumbuka hawezi kutumia mawakili wa serikali wala wake binafsi.
 
Back
Top Bottom