residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Mkuu "tovarishch Vladimir Lenin ,hao wadada waliopewa kazi ya "kilainishi" hamna kitu kichwani, wao wanachojua ni kufunua madera tu na kuacha makufuki hadharani. Subiri kampeni zianze uone walivyokosa radhi.Nchi ya wapi, kwa sasa hakuna rais bali kuna wagombea wa urais, lijue hilo sister.