Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Maiti iliyofufuka haigopi kifoDuh.... This Lissu sasa ananitisha hata mimi...sio kwa guts hizi...[emoji2][emoji2][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maiti iliyofufuka haigopi kifoDuh.... This Lissu sasa ananitisha hata mimi...sio kwa guts hizi...[emoji2][emoji2][emoji23]
Wagombea wengi wa Upinzani wameenguliwa kwa sababu kama hizo. Sasa kama mmoja umemkata kwa sababu hiyohiyo kwanini useme kwa mwingine hiyo sio sababuHilo nalo pingamizi sasa?
Uraisi ni utumishi siyo utukufu
Devotha Minja kaenguliwa kwa sababu ya PichaPicha ya Rais si iko hata hapo ukutani kwenye ofisi za tume. Huyo domokrasia ache kupayuka hovyo.
Hapo ndio nataka kuona unafiki wa CCM na TumeHiyo kali.
Duh. Lissu kibiko. Hapo utashangaa JPM atakavyotokea mpole na kujichekesha chekesha .... Jamaa ni bonge la msanii!!
Sasa kama kuli Morogoro kuna dada inadaiwa amekatwa kwa kuwa hakupeleka picha ..... sasa kuna sababu gani ambayo itamzuia JPM asikatwe kwa kipengere hichohicho.
Lissu anajifurahisha tuDuh.... This Lissu sasa ananitisha hata mimi...sio kwa guts hizi...[emoji2][emoji2][emoji23]
Nchi ya wapi, kwa sasa hakuna rais bali kuna wagombea wa urais, lijue hilo sister.
Tulia sindano ikuingie vizuriRais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
U Rais wa JPM unaisha tarehe 28 october na baada ya hapo anaapishwa tena kwa hiyo msiwe na wasiwasiNchi ya wapi, kwa sasa hakuna rais bali kuna wagombea wa urais, lijue hilo sister.
Na hiyo ameisemea, sio sahihi uhakiki kufanyika mikoaniLissu si kasamehewa kwa kutohakiki jana
Utaratibu huu unaongelea labda ni wakilingine kwenu. Si wataifa huru ka Tanzania, leo ikihitajika kutangazwa hali ya hatari nchini lazima Rais na amiri heshi Mkuu, JPM angurume.
Devotha Minja kaenguliwa kwa sababu ya Picha
Kumbuka kuwa kuna wagombe wa Ubunge kule jimbo la Mtama wameenguliwa kwa kosa la kuweka N badala ya n,au kuweka nukta.Sasa mbona uhoji hilo?.Hizo pingamizi za kitoto sana.leta Nyengine.