Uchaguzi 2020 Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi, aliewekewa pingamizi atajibu hoja mbele ya mweka pingamizi, Lissu na Magufuli uso kwa uso

Uchaguzi 2020 Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi, aliewekewa pingamizi atajibu hoja mbele ya mweka pingamizi, Lissu na Magufuli uso kwa uso

Nchi ya wapi, kwa sasa hakuna rais bali kuna wagombea wa urais, lijue hilo sister.
Du, kwa hiyo Sasa hivi serikali haiko madarakani? Nani ameshikiria nchi kwa Sasa? Kwa taarifa yako raisi anakoma kuwa raisi wa nchi hadi atakapoapishwa raisi mwingine.

Nyumbu muwe mnapitia pitia hata Katiba kabla ya kuonyesha mihemko yenu, mnaboa sana ujuaji mwingi wakati hata sheria hamjui.
 
Mizombie ni mizombie tu....lissu kamuwekea pingamiz mgombea urais wa ccm na sio rais w jmt.nyambafu

You Idiot usidanganywe huvitenganishi viwili hivi. Mgombea na Urasi. Wagombea ni Lissu na wenzake si JPM.
 
Kwa hasira nilo nayo kwa huyu kibaraka hata saiz nikipewa bunduki namlipua haijalishi mengine tutajua mbele kwa mbele

Kwasababu wewe ndiye mwenye hati miliki ya kuishi, unaweza kufa hata kesho usiamke kwa hayo mawazo kumbuka kuna Mungu anayeruhusu haya yote yatokee wewe ni nani wa kukatiza uhai wa mtu aliopewa na Mungu. Umuuwe sababu amewakakoo mwaka huu hadi mseme poo
 
Wewe uko na matatizo huoni hata kwa macho tu utofauti wa wanao Mzunguka Lissu na wanao mzunguka JPM. Ndio mnadanganywa na maandishi ya wabadamu yanayoitwa sheria. Saa nyingine wako binadamu hawana tofauti na hayawani.

Kwahiyo akizungukwa na hao ndo anakuwa siyo mgombea wagombea wana haki sawa mbele ya sheria
 
Utoto utoto raisi passport size imshinde kwer??? Istoshe kwenye mabango pale tume ya uchaguzi nimeona wame bandika fomu za wagombea wa ccm zisizo na picha😉😉ok siku tatu za uhakiki TL kaja siku ya uteuzi Na hapa kwa TL i see the next kenyaatter😂😂😂😂 mbafu
 
Kwahiyo akizungukwa na hao ndo anakuwa siyo mgombea wagombea wana haki sawa mbele ya sheria

Wanao mzunguka wako kisheria pia. Maana ya haki sawa ni ipi hapo? Tumieni akili zenu kidogo msifuate mkumbo wa huyu mpayukaji.
 
Pingamizi hazina maana kabisa hii na kijinga tu, hivi focus ya CDM ni ndogo hivi?
Mkuu mapingamizi hayana uhusiano na focus Wala vision bali Sheria,umeifuata vipi sheria. Tafuta muda uwe unaenda kusikikiza kesi mahakamani, I believe itakusaidia
 
Back
Top Bottom