Uchaguzi 2020 Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi, aliewekewa pingamizi atajibu hoja mbele ya mweka pingamizi, Lissu na Magufuli uso kwa uso

Duh.... This Lissu sasa ananitisha hata mimi ... sio kwa guts hizi... [emoji2][emoji2][emoji23]
nadhani mapingamizi juu yake utayakubali pindi yakitokea, achana na magu msubiri lipumba ajibu tutaimba wimbo sawa
 
Yaani muda wanaopoteza wataujutia! Badala ya kuhangaika na kampeni wanashadadia ujinga! Hawajui hata maana ya tume!
 
Mambo mengine ya kijinga.unamuengua mtu eti hakuleta passport??this is stupid .mambo mengine tunajtaji kutumia busara na siyo kukomoana!! Kama NEC hawawezi wajiuzulu mara moja.
Hilo nalikubali.
Maana zile fomu sio.mtihani
 
Mlivyomuengua Devotta Minja kule Morogoro kuwa hakuleta passport size ndio vile vile atakavyoenguliwa
wakurugenzi wanatumika hovyo hovyo bila kujali familia zao zinaishi mtaani hio laana ya kuwanyima wengine haki ya kuwachagua wawakilishi wawatao itawatafuna sana kwa kukubali kutumika
 
Acha uwongo. Kanuni za uchaguzi 2020 kanuni ya 39 haija sema kuwa mujibu pingamizi atafanya hivyo mbele ya mleta pingamizi.
 
Kwa hiyo furaha ya Lissu ni kukutana na Magufuli, mapingamizi kama hayo huwa yanatupiliwa mbali.
 
Hizo sababu ni nzito zinatosha kumwengua magu
 
pana wagombea anatia shaka juu ya uraia wake una utata hilo nalo liweke wazi tuwajue asili zao tusiongozwe na wasio raia
 
Kama wamemuondoa Minja Devotha kwa kutoweka passport basi na "JIKONO DANJAMA" naye aenguliwa kwa kuto ambatanisha passport.

Inakuwaje Kaijage na Mkurugenzi kumpitisha huku Makosa ya wazi kabisa kutokuwa na passport?
Broo hilo jina balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…