Jiwe la pembeniAliisoma vizuri sheria ya uchaguzi na past experience pia
Kama wew ulivyo mse**geHuyo muulizeni vizuri jinsi alivyofanya, iko namna.
Lissu na ni mjinga flani, mtu anayesahau Dr Slaa na Mashinji walikuwa makatibu wakuu wa cdm, unafikiri anasaidika vipi? Ila kwa akili yake na anavyojichekesha chekesha, anafikiri ni mjanja na anajua kila kitu. Kumbe ni mjinga wa kawaida tu kama wajinga wengine.
Kwa sharia gani?Hakuna kitu kama hicho ! Ukishaweka pingamizi unasubiri majibu basi....
Daaah leo CCM mnaomba poooo ππππ kweli maisha yanaenda kasi sana. Huyo ndo Lissu!!nadhani mapingamizi juu yake utayakubali pindi yakitokea, achana na magu msubiri lipumba ajibu tutaimba wimbo sawa
Nyie mnashangilia mapingamizi wenzenu wanashangilia ushindi,!Daaah leo CCM mnaomba poooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli maisha yanaenda kasi sana. Huyo ndo Lissu!!
Anapigwa mapwido ww jamaa kuwa na adabuTundu Lissu mtundu Sana du, anapiga mapwido tu
Kwani devota minja si hakuweka picha?Duh.... This Lissu sasa ananitisha hata mimi ... sio kwa guts hizi... [emoji2][emoji2][emoji23]
Hilo nalo pingamizi sasa?
Mlivyomuengua devota minja si hakuweka picha tulia ndege mjanja hunasa tundu bovuHilo nalo pingamizi sasa?
Huko tume siyo Rais ni mgombea au unajitoa ufahamu makusudi?Rais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
Ndege mjanja hunasa tundu bovu tu.Tundu Lissu mtundu Sana du, anapiga mapwido tu
Naona hali zenu mbaya sana leo. Poleni aiseee wana Lumumba πππNyie mnashangilia mapingamizi wenzenu wanashangilia ushindi,!
Kweli chadema ni sikio la kufa
Amemuwekea pingamizi kama rais wa nchi au mgombea wa urais wa CCM?
Ongeeni tu, si mlitunga Sheria za kipuuzi kwa akili ya Ndugai na Kabudi mkiamini hazitawahusu?Hilo nalo pingamizi sasa?
Tundu Lissu anaonyesha kuwa ndiye Mtanzania pekee mwenye balls (pu.. u). Maana Meko alikwishadharau waTanzanoa wote DaadadekiiiHata huko Marekani ambako tumekopa demokrasia Rais wa nchi anakuwa hadi pale anapokabidhi kwa Rais mpya baada ya kiapo. Yaani bendera ya nchi inashushwa na kupandisha tena. Kwa makini Lissu anawapotosha sana vijana wakati yeye akijua kabisa hilo.
Usinifokee man, I am entertaining my freedom of dreaming and speaking!
Sheria ni msemeno lazima ukate kotekote hizo sheria hazikutungwa kwa ajili ya upinzani.devota minja mmekata sababu ya picha tuliaNdio utaona safari hii mawili hayo hayatengani/kutenganishwa kwa sababu ya Rais mchapakazi aliyetukuka JPM.