Uchaguzi 2020 Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi, aliewekewa pingamizi atajibu hoja mbele ya mweka pingamizi, Lissu na Magufuli uso kwa uso

Uchaguzi 2020 Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi, aliewekewa pingamizi atajibu hoja mbele ya mweka pingamizi, Lissu na Magufuli uso kwa uso

Huyo muulizeni vizuri jinsi alivyofanya, iko namna.

Lissu na ni mjinga flani, mtu anayesahau Dr Slaa na Mashinji walikuwa makatibu wakuu wa cdm, unafikiri anasaidika vipi? Ila kwa akili yake na anavyojichekesha chekesha, anafikiri ni mjanja na anajua kila kitu. Kumbe ni mjinga wa kawaida tu kama wajinga wengine.
Kama wew ulivyo mse**ge
 
Uonevu SASA!? BASI...!! SASA BASI...!! SASA BASI...!!!
IMG-20200826-WA0078.jpg
 
Hata huko Marekani ambako tumekopa demokrasia Rais wa nchi anakuwa hadi pale anapokabidhi kwa Rais mpya baada ya kiapo. Yaani bendera ya nchi inashushwa na kupandisha tena. Kwa makini Lissu anawapotosha sana vijana wakati yeye akijua kabisa hilo.
Tundu Lissu anaonyesha kuwa ndiye Mtanzania pekee mwenye balls (pu.. u). Maana Meko alikwishadharau waTanzanoa wote Daadadekiii
 
Ndio utaona safari hii mawili hayo hayatengani/kutenganishwa kwa sababu ya Rais mchapakazi aliyetukuka JPM.
Sheria ni msemeno lazima ukate kotekote hizo sheria hazikutungwa kwa ajili ya upinzani.devota minja mmekata sababu ya picha tulia
 
Ukila na mfalme meza moja USIJISAHAU... JPM ni rais wa JAMHURI ya MUUNGANO je una uhakika mkianza figisu figisu mtamuweza?
 
Back
Top Bottom