Kwa mujibu wa Standing Orders, DAS ni mtumishi wa Umma

Hakika huu ni uchambuzi wa kutukuka mno ! Asante sana kamanda .
 
Itabidi tufanye utaratibu wa kufungua kesi kuhoji juu ya uteuzi huo. Wanasheria tunaomba hii ifanyiwe kazi
 
kwa maelezo haya.
nchi nzima vijana itawabidi waingie kwenye siasa ili angalau wapate ajira kwa wepesi. Matokeo yake miaka michache ijayo tutakuwa na purely political nation.
 
Labda ungeweka CV ya huyo mtela na kusema hafai au anafaa. Hizo nyingine ni mbwembwe tu
kama ni msikilizaji au msomaji makini, hoja yangu sio uwezo wa Mtela bali ni Ukiukaji wa Taratibu za Utumishi wa Umma, mimi hata kama wangeweka yule FISI wa kipindi cha kampeni awe DAS ni sawa tu, lakini taratibu zingefuatwa
 
Wakati huu ajira zote zitakuwa za kuteuliwa. Ili kila uchao kuwe na kutengua uteuzi. Ukitofautiana na mkuu kidogo tu ajira huna
 
najua nakufundisha vitu hapa ukawaeleze na wenzio. Katibu Tawala wa Wilaya anateuliwa lakini miongoni mwa watumishi wa umma
Nani kakudanganya? Msiishi kwa mazoea. Katika awamu hii, mtu sahihi huwekwa mahala sahihi.
 
Labda ungeweka CV ya huyo mtela na kusema hafai au anafaa. Hizo nyingine ni mbwembwe tu
Jamani navyojua DAS huteuliwa miongoni kwa watumishi waandamizi wa serikali tena waliosomea masomo ya sheria , utawala na fani zinazoendana na hizo sasa hii iliyotokea naona kama ni " surprise " haya twendeni lakini
 
Nani kakudanganya? Msiishi kwa mazoea. Katika awamu hii, mtu sahihi huwekwa mahala sahihi.
Khaaa sasa hizo sheria na kanuni zipo kwa sababu gani? Zifutwe basi .jamani mbona mnataka kuzua vituko nchi hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…