Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Mtu kama huyo unadhani anafahamu hata Standing Orders ni kitu gani! !!!hapo hakuna cha ukawa wala uccm bali ni maslahi mapana ya taifa letu. rais kateleza.
sio kila uteuzi anapaswa kuweka yeyote. tafuta standing Order ujielimishe.
"Niombeeni".Sijui kama JPM hata anaelewa nini anafanya! Ana washauri kweli huyu??
Sijui kama JPM hata anaelewa nini anafanya! Ana washauri kweli huyu??
na sio nishaurini!"Niombeeni".
Mkuu maofisini watu wamehuzunika sana, watu walishaanza kujenga imani na Rais walau ukilinganisha na waliopita. Lakini kwa uteuzi huu, ni dhahiri maslahi ya Taifa na watumishi ambao miaka nenda miaka rudi wanajituma kwa ajili ya nchi yao yamesahaulika. Hizi zilitakiwa ziwe promotion kwa watumishi waledi na waliojitolea kwa ajili ya nchi yao, lakini sasa zinatumika kama asante na takrima. Hili linaweza kujenga chuki na mawazo ya upendeleo wa kundi flani katika tasnia ya utumishi.Aise Rais wangu kubali kufuata ushauri wa waliokutangulia utapotea sn aise kwa unayofanya nchi hii ni yetu sote kumbuka ulichaguliwa na watu wote
Suala hapo ni utawala wa sheria tumeapa kuilinda katiba na sio suala la kuzungusha mikono au mtaisoma namba.je hao DAS wateule ni watumishi wa umma hapo kabla?vinginevyo tutasimama hapa tulipo kwa siasa toka uchaguzi hadi uchaguzi.We kijana tulia sasa ulitaka makada wa ccm waliopigania chama kuingia madarakani watoswe? Na bado ofisi zote za serikali mpaka hapo kwenye ofisi yako ya CAG Ma Auditors watakuwa makada wa CCM... We endelea kuzungurusha tu mikono
hii imeshangaza kupita kiasi,naamini hata waliopewa agizo na kubariki wameshangazwa sana,ila watafanyeje sasaMkuu maofisini watu wamehuzunika sana, watu walishaanza kujenga imani na Rais walau ukilinganisha na waliopita. Lakini kwa uteuzi huu, ni dhahiri maslahi ya Taifa na watumishi ambao miaka nenda miaka rudi wanajituma kwa ajili ya nchi yao yamesahaulika. Hizi zilitakiwa ziwe promotion kwa watumishi waledi na waliojitolea kwa ajili ya nchi yao, lakini sasa zinatumika kama asante na takrima. Hili linaweza kujenga chuki na mawazo ya upendeleo wa kundi flani katika tasnia ya utumishi.
Naomba kunukuu Para A1 (21) ya Standing Orders ya 2009
Hivyo basi uteuzi wa DAS ni kama ulivyo uteuzi wa DED/MD/TEC Mkurugenzi wa Halmashauri, ni lazima awe mtumishi wa umma kwanza. Hii sio nafasi ya kisiasa.
Nimeonelea nitoe ufafanuzi huu baaada ya kuona jambo la ajabu sana kutokea jioni ya leo. Hatimae siasa zinanajisi utumishi wa umma. Tunaona Mwanasiasa Mtela Mwambamba na wenzake ghafla wameteuliwa kuwa ma-DAS. Sina hakika sana na wengine lakini ni dhahiri shahiri Mtela Mwampamba sio mtumishi wa umma.
Nachosisitiza hapa ni kwamba KATIBU TAWALA WA WILAYA HUTEULIWA LAKINI NI LAZIMA AWE MIONGONI MWA WATUMISHI WA UMMA
hata hivyo hongera sana mkuu kwa kupata uDAS,muombe Mungu jamaa wasijishtukie,wazibe masikio la sivyo watakutenguaHivi Amon Mpanju amewahi kuwa mtumishi wa umma!? Mbona uteuzi wake kuwa naibu katibu mkuu wa wizara ya sheria na katiba haukupigiwa kelele namna hii!? Ni nani asiyejua kuwa Mpanju ni mwanaCCM mtiifu na alishiriki kwenye mchakato wa kura za maoni katika kuusaka ubunge jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM. Tuache double standards.
hata hivyo hongera sana mkuu kwa kupata uDAS,muombe Mungu jamaa wasijishtukie,wazibe masikio la sivyo watakutengua.Makosa yaliyofanywa kwa Amoni hajawezi kuhalalisha makosa ktk uteuzi wako.Usitulaumu sisi,laumu kanuni na sheriaHivi Amon Mpanju amewahi kuwa mtumishi wa umma!? Mbona uteuzi wake kuwa naibu katibu mkuu wa wizara ya sheria na katiba haukupigiwa kelele namna hii!? Ni nani asiyejua kuwa Mpanju ni mwanaCCM mtiifu na alishiriki kwenye mchakato wa kura za maoni katika kuusaka ubunge jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM. Tuache double standards.
watumishi wa umma wanajulikana na utaratibu wa kuwapata upo wazi.Mtela sio mtumishi wa umma.au unataka kusema ni agent wa NS?Hv ni nani hata hivyo anaweza kuthibitisha kuwa huyo mteule hakuwa mtumishi wa umma?Mtu aweza kuutumikia umma kwa namna nyingi.Unaweza kumwona n mvuvı, mkulima,mchuuzı,mzururuji n.k lakn akawa bado n mtumishi wa umma.