Kwa mwamko huu, CCM hawawezi kukubali Katiba Mpya

kinachotisha ni kwamba wote hao wamekwenda kwa hiari yao, hawajaorodheshwa wakapewa rushwa ili wahudhurie mkutano wala usafiri
Hakuna mtendaji aliye pewa maagizo kuhakikisha wananchi wanaenda mkutanoni
 
Wapi nimekwambia nahitaji heshima kutoka kwako. Au kutukana na kukebehi ndo misingi yenu. Mwny akili kubwa haandiki ushubwada huwo.
Ungekuwa na akili usingekubali kujiita CHAWA
 
Unaona sasa ?? Huu ndio mtaji mkuwa wa chama tawala na wewe ni hazina kuu Ccm hawakubali kupoteza watu kama nyie!!
Mimi naunga mkono mtu au chama chochote kinachodai katiba mpya , kwamba chadema watafanya niini kama wakitwaa nchi hiyo ni juu yao !!ila kitu kimoja cha wazi kabisa ni kuwa hawataweza kuichezea nchi kama katiba itakuwa nzuri.
 
Hakuna anayepinga katiba mpya. Ila ninachowaza kwa sauti ni juu ya yule anayenihubiria swala zima la katiba mpya.

Maana nikiiangalia katiba ya nyumbani kwake kwa mbali nakuwa na mashaka juu ya hiki anachokihubiri. Mantiki yangu iko hapo kama umeshindwa kuelewa i rest my case.!!
 
Katiba ya ccm wanakwambia tume ya uchaguzi ikisha mtangaza mshindi wa urais hakuna kuhoji popote!

Huu ni ujambazi mkubwa sana kwenye eneo la siasa za Tanzania.
 
Katiba ya ccm wanakwambia tume ya uchaguzi ikisha mtangaza mshindi wa urais hakuna kuhoji popote!

Huu ni ujambazi mkubwa sana kwenye eneo la siasa za Tanzania.
Na katiba ya chadema inadai mtu akishakuwa mwenyekiti wa chama hana ukomo mpk pale atakapochoka yeye kugombea.

Watanzania tuogopeni matapeli nchi yetu isije geuzwa kama Uganda au Rwanda maana viongozi wake wana uchu sana na madaraka.
 
Mungu alishatuondolea Jiwe
 
Na ndicho watu wenye kujitambua wanataka kuona Nchi yao haichezewi chezewi kutokana na mapungufu mengi yaliyopo kwenye Katiba iliyopo ambayo pamoja na mapungufu yote yaliyomo pia imerundika madaraka yote makubwa kwa Rais wa Nchi kitu ambacho hata hayati Mwalimu Nyerere alionyesha wasiwasi wake mkubwa kwa hayo madaraka!

Mwalimu alionya kwa katiba hii akipatikana Kiongozi dikteta itakuwa shughuli pevu katika Nchi !! Watu wanaweza wakalimia meno πŸ™πŸ™πŸ™
 
Rasimu ya warioba uliisoma ukaielewa broo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…