KWA MWENDO HUU: Tutegemee Home Shopping Centre kurudi - kazi (iliyositishwa) iendelee!

58DDF2A7-259A-47A2-BB1E-FC07D3CA47F4.jpeg
 
Hahahaa ndio mana nasemaga uchawi ni ujingatu hauwezi kuwa kweli.

Hata mimi siamini kabisa naona ni ujinga tu na watu kuamini
Ila jicho la husda lipo yaani mtu anakukata jicho mpaka unapaliwa au kufa kabisa [emoji23][emoji23]
Sasa narudia wawarogeeee [emoji23][emoji23]
 
Tumia fursa wewe. Awamu hii usipoongeza mapato yako basi wewe ni fala.
 
Acha wivu na chuki,Huyo Riziwani alishawai haribu wapi?

Mwacheni aliyebahatika abahatike
Pale kinyerezi kile kiota cha maraha kilichosemeka kina mkono wa dogo...free sasa...maana mgogoro ulikuwa wa ardhi na shule
 
Upigaji kwa kwenda mbele!! Mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! Viwanja vya wazi pole yao!!

Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi (za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!

Tuwe wakweli!! Unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Riz anashida gani?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Upigaji kwa kwenda mbele!! Mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! Viwanja vya wazi pole yao!!

Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi (za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!

Tuwe wakweli!! Unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Unatoka kundi lileeee........
 
Tuwe wakweli!! Unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Kwa kweli jana sijalala nawaza huyu jamaa alivyohusisishwa kashfa ya Ngada China na namna ambavyo nchi iliingizwa kwenye mtihani, nabaki speechless. Mama amepata wapi ujasiri wa kumweka Riz1 kwenye wizara nyeti kama ya Ardhi, nn matarajio ya Rais kwny kufanya hili? Mama atazame upya, Imani nae itaanza kutoweka kwenye mambo ya hovyohovyo kama haya!!
 
Upigaji kwa kwenda mbele!! Mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! Viwanja vya wazi pole yao!!

Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi (za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!

Tuwe wakweli!! Unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
Ni ama Mama alikuwa hapendi uongozi wa Magufuli ila alikuwakuwamo tu, au anashikinizwa sasa kutopenda uongozi wa Magufuli. Kama walifanya kazi pamoja kwa miaka mitano, na wakati wa kampeini yeye alitumia muda wote kutangaza mafanikio ya utawala huo, halafu ghafla leo hii anapiga u-turn, ni lazima kuna tatizo. Maamuzi yake ya kuondoa mawaziri wote waliokuwa kipenzi cha Magufuli, na waliokuwa wasimamizi wakubwa wa sera zake, na kuweka wale waliokuwa wanamtukana Magufuli hadharani, ni jambo la kuangaliwa sana kuhusu hilo.

Mojawapo ya makosa ya magufuli ni kuwa alifanya Kikwete amchukie sana kwa vile alikuwa akifanya mambo makubwa zaidi yake, halafu katika hotuba zake zote hakuwahi kutoa credit yoyote kwa Kikwete.
 
Home shopping centre ndio gsm na maduka yake ya max. Ridhiwani anaingiaje hapo mkuu
 
Mbona ufisadi ulitaradad zaidi kwa JPM, alijenga kiwanja cha ndege kule chato hela katoa wp?

CCM ni Chukua Chako Mapema

kwa hiyo unataka kusema wasafiri kutoka chato wanatumia uwanja wa chato kwenda india dubai dar kia na zanziba kama hakuna uwanja upi umejengwa
 
Kwenda wapi na wapi tutajadili baadae, lete majibu hela alitoa wapi bajeti ipi
 
Upigaji kwa kwenda mbele!! Mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! Viwanja vya wazi pole yao!!

Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye anasema kazi (zilizokuwa zinafanyika chini ya JPM) iendelee, wenzake wanasema kazi (za kifisadi zilizositishwa na JPM) iendelee!

Tuwe wakweli!! Unaweza kutegemea nini kwa riz 1?? Riz 1 umwimbie wimbo wa maslahi mapana ya Taifa atakuona kama unanena kwa lugha!!
We endelea tu kupiga domo huku sisi wengine tumeshajiandaa kuneemeka kupitia furusa ya kila mtu afanye lake.
 
Back
Top Bottom