Kwa mwenye ratiba ya kuoa nipo hapa pia nina ratiba ya kuolewa

Hayo maji ya kunde yanapatikana mto gani??[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Inaelekea huo mto ulishakauka, na maji yake yamebaki kwa wachina[emoji23] [emoji23] [emoji23]


Kesho tutasikia aliye tayari[emoji23] [emoji23]

Hapo maji ya kunde kuna muda nawaza ni ndugu yake na ujasilia mali[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Mie nina ratiba ya kuacha mke mwakani,vp utanisubiria nipo serious kwa kweli!
 
Mimi rangi yangu maji ya choroko, sifa ninazo, unasemaje??!
 
Maji ya kunde yapoje wakuu, mwenye kapicha afanye kutupia
 
Kila siku maji ya kunde nikiwa maji ya muhogo sihitajiki kwako ? Wengi wanataka maji haya nawewe kama unata usini pm bali vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…