Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Hayo maji ya kunde yanapatikana mto gani??[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sifa zangu ni mwanamke mwenye umri miaka 26, sijawai kuolewa sina mtoto, elimu yangu form4 na dini mkristu kazi nimejiajiri na ujasiriamali mpaka, sifa za mwanaume umri. Miaka27-35 rangi maji ya kunde kwakua najisikia rahaa nikigusa ngozi hiyo mjasiriamali mkristo mengine mwenye nia pm.
Inaelekea huo mto ulishakauka, na maji yake yamebaki kwa wachina[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kesho tutasikia aliye tayari[emoji23] [emoji23]
Hapo maji ya kunde kuna muda nawaza ni ndugu yake na ujasilia mali[emoji134] [emoji134] [emoji134]