Kwa mwezi napewa haizidi mara 5 tu. Je, hii ndoa au ndoano?

Kwa mwezi napewa haizidi mara 5 tu. Je, hii ndoa au ndoano?

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Yaani nikipewa jumatatu, jumanne, jumatano na alhamisi anakuwa amechoka, na tena inakuwa ni kimoja.

Sasa unajua mimi bado ni kijana lakini kuna wakati hili suala linanifanya nakuwa na hasira kwani ni mpaka apende yeye.

Nafikiria kumwacha ila nawaza watoto watakuja kuwa machokoraa.

Nawaza kuwa na mpango waa kando ila naogopa kuongeza shida nyingine.

Mpaka sasa niko njiapanda ilifikia hatua mpaka ikanibidi niwashirikishe na watu wa pembeni tukiyamaliza ukiisha mwezi mambo yanaanza kuwa magumu tena.

Ni kweli huwa anaumia wakati flani ila tukifanya kila siku anakuwa haumii.

Nilimshauri ale bamia ila amekataa. Je, kuna chakula au dawa au njia za kumfanya asiumie. Nahisi nyama zake ni laini sehemu za uke wake.
 
Yaani nikipewa jumatatu. jumanne, jumatano na alhamisi anakuwa amechoka, na tena inakuwa ni kimoja.

Sasa unajua Mimi bado ni kijana lakini kuna wakati hili swala linanifanya nakuwa na hasira kwani ni mpaka apende yeye

Nafikiria kumwacha ila nawaza watoto watakuja kuwa machokoraa

Nawaza kuwa na mpango was kando ila naogopa kuongeza shida nyingine.

Mpaka sasa Niko njiapanda ilifikia hatua mpaka ikanibidi niwashirikishe na watu was pembeni tukiyamaliza ukiisha mwezi mambo yanaanza kuwa magumu tena

Ni kweli huwa anaumia wakati flani ila tukifanya kila siku anakuwa haumii,

Nilimshauri ale bamia ila amekataa je kuna chakula au dawa au njia za kumfanya asiumie. Nahisi nyama zake ni laini sehemu za uke wake.
Upige wiki nzima asiumie?,
 
Mlete nimuunganishe na mtu ampatie dawa atafurah na roho yake. Utelezi kama wote na atainjoi sanaaa. Seriously
 
Mwanaume Jasiri huwa alalamiki akinyimwa unyumba.
Unaongea na mwenzi wako akiendelea kuwa mkaidi, nawewe mfungie vioo.
Kumiliki nyumba ndogo sikushauri. Tumia wale wa kupiga mara moja mnamalizana.
 
Usipaniki na wewe ndio mwanaume,we ndio Mambo yote usiwe mwepesi kuwafanya Mambo yapotee, tafuta goma huko utakuwa unaenda kupiga part time unafidia siku ambazo hupewi nyumbani,alafu ngono kila MTU na anavyoichukulia,wanawake wengi walioolewa ngono ni kitu cha ziada Sana Ila tunaishi nao Kwa kuwa ndoa ni beyond ngono,uzuri tuna option nyingi
 
Atakuwa ana uvimbe kwenye kizazi, akaangaliwe mapema.

Pia kuwa na mchepuko ni muhimu ili kufanya ndoa yako idumu; muhimu upate mchepuko unaojielewa.
Lasivyo utakuwa unamlaumu mkeo kwa kukunyima tendo kutokana na changamoto alionayo; ikiwa sisi wananume tunaweza kufanya tendo zaidi ya mara tatu kwa siku.​
 
Kumanishaaa niniiiíiiiiiiiii...

Ndoa imekuharibia ratiba Yako kabla ujaoaa cyoó......
 
Alafu kama anakuwa mkavu Sana,tayari kuna ishu ya kihisia hapo,ngono kwake sio kitu kinacho mvutia toka kwako,maandalizi kabla ya tendo yanashida Kwa kiasi fulani
 
Back
Top Bottom