SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Huna akili jua hilo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mno yani😁muhimu tunaitika ipasavyo🤣
Heshima yako mkuuMno yani😁
Kizimkazi ni ufalaaaaa mtupu Mwanangu shavu la uhakika lipo humu humu na nimeshaliona na ninalifanyia kazi. Allah ampe maisha marefu Maxence kwa kuanzisha huu Mtandao.Ukipata shavu la Kwa Biden na kizimkaz una mishe zako maisha yanaenda vizuri kabisa
Akili na kupewa kivipi yani😆Huna akili jua hilo tu
Apewe kila siku kila saa kwa nguvu ganiAkili na kupewa kivipi yani😆
😁😁😁 nguvu kwani nikusukuma trekta ile.Apewe kila siku kila saa kwa nguvu gani
NIkutooombdfghj sio kutomghhnna😁😁😁 nguvu kwani nikusukuma trekta ile.
Sijaelewa 😁NIkutooombdfghj sio kutomghhnna
Hudhuria semina za ndoa ukiwa naeYaani nikipewa jumatatu, jumanne, jumatano na alhamisi anakuwa amechoka, na tena inakuwa ni kimoja.
Sasa unajua mimi bado ni kijana lakini kuna wakati hili suala linanifanya nakuwa na hasira kwani ni mpaka apende yeye.
Nafikiria kumwacha ila nawaza watoto watakuja kuwa machokoraa.
Nawaza kuwa na mpango waa kando ila naogopa kuongeza shida nyingine.
Mpaka sasa niko njiapanda ilifikia hatua mpaka ikanibidi niwashirikishe na watu wa pembeni tukiyamaliza ukiisha mwezi mambo yanaanza kuwa magumu tena.
Ni kweli huwa anaumia wakati flani ila tukifanya kila siku anakuwa haumii.
Nilimshauri ale bamia ila amekataa. Je, kuna chakula au dawa au njia za kumfanya asiumie. Nahisi nyama zake ni laini sehemu za uke wake.
Muda wa kua green lighted ukifika mambo hua yanajipa yenyewe network zinakuja za kutoshaKizimkazi ni ufalaaaaa mtupu Mwanangu shavu la uhakika lipo humu humu na nimeshaliona na ninalifanyia kazi. Allah ampe maisha marefu Maxence kwa kuanzisha huu Mtandao.
Hakika MkuuMuda wa kua green lighted ukifika mambo hua yanajipa yenyewe network zinakuja za kutosha
Aseme alipo apigiwe simu fasta 😁Evelyn Salt njo umuulize huyu alipo kisha umpe suluhisho
Una watoto!!??Nina waume
Ulishawahi kumwambia au kuongea nae? Kama hajawahi kuongea nae wewe ndio jipu!Yaani nikipewa jumatatu, jumanne, jumatano na alhamisi anakuwa amechoka, na tena inakuwa ni kimoja.