Kwa mwezi napewa haizidi mara 5 tu. Je, hii ndoa au ndoano?

Hajakojoa huyo
 
No man hao watu kwao saa 12 jioni kwao ni asubuhi, kazi ya masaa 8 tu. Kwahiyo lazima niwe active sana. Lakini leo kuna tatizo la mtandao hatusomani kwenye mfumo
Doh hiyo ngumu mzeee, najaribu kuwaza ni Nchi gani ambayo tuna upishano huo wa masaaa
 
Nujua sabuni weka bafuni haikupangii ratiba wala haikuombi hela
 
Evelyn Salt njo umuulize huyu alipo kisha umpe suluhisho
 
Jiangalie wewe mwenyewe kwanza kuanzia usafi wa mwili na mazingira ya faragha. Wanaume tuna harufu ila Kuna wengine wamezidi mswaki deshi plus harufu ya sigara na kisungura hatariii.
Usiombe penzi kama unaomba ugali maharage mwangalie mwenzako Yuko vizuri au anawaza madeni ya vikoba.
Jitahidi mkeo awe rafiki yako namba moja, utafaidi mema ya Dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…