Yeah ulifinguliwa alipo enda mwanamfalme toka uganda to Rwanda kukutana na mfalme wa Rwanda huko KigaliNi lini Uganda na Rwanda walisuluhisha migogoro yao, mpaka leo wawe marafiki!? hivi mpaka wa gatuna ulishafunguliwa?
wala usiseme wazungu kufurahia. speed ya kuingiza wanachama inatisha ni wazi itapasuka na kufa. kosa lilianza pale walipopitisha rwanda na burundi kuwa wanachama. Kosa kubwa wameingiza nchi ambazo bado si stable-DRC na South Sudan na tayari wanapika kosa lingine la kuiingiza somalia. EAC itakuja kuwa hopeless integration kama south asia ambayo members wake wamo india, pakistan, bangladesh na burmer(sina hakika kama burmer yumo)Tayari Tanzania, Burundi na Nusu ya Wakenya wanaisapoti Congo DR huku pia Uganda na Nusu ya Wakenya wakiisapoti Rwanda.
Wazungu ambao Siku zote hawataki Kuiona Jumuiya hii ya Afrika Mashariki ikistawi wamefanikiwa Kutugombanisha na kwa Uzuzu wa Wanaogombanishwa wamekubali Kuingia katika huu Mtego wa Kimkakati.
Hivi kwa Miradi mingi ya Kimaendeleo na Kimkakati Iiliyoko katika Jumuiya hii ya EAC mnadhani Congo DR na Rwanda (Wanachama wa EAC) zikiingia Vitani hawa Marafiki zao wakubwa Tanzania hatomsaidia Congo DR au Uganda haitomsaidia Rwanda?
Mnaacha kuwa Neutral katika huu Mzozo sasa Tanzania imeamua kuchukua upande kwa Kuisaidia Kisiri Congo DR kwa mategemeo ya kupata Tenda na Fursa nyingi za Kibiashara na hata Kumegewa kidogo Madini ya Congo DR Ili yawasaidie.
Na Uganda nayo vile vile (japo Kisiri) imeamua kuwasaidia Rwanda kwa ahadi ya Kufaidika na Madini ambayo kwa 60% yako upande wa Jirani na Taifa la Rwanda na chini ya Udhibiti mzuri wa Jeshi la Rwanda.
Saaa ni rasmi kuwa Vita ya Panzi huwa ni Furaha kwa Kunguru hivyo basi Mzozo huu wa Congo DR na Rwanda na kwa nchi za Tanzania na Uganda nao kuchukua upande wa Kuzisaidia ni Ushindi mkubwa kwa Wazungu ambao wametumia Akili Kubwa Kutugombanisha ili Jumuiya ya EAC isifanikiwe na waendelee Kutugawa ili tuendelee Kuwategemea huku Wao Wakitunyonya (hasa katika Rasilimali zetu) kutokana na Upan'gang'a (Upumbavu) tulionao.
Tulianza na Free Trade, kisha Customs Union, tupo njiani kwenda katika Monetary Union kisha tumalize na Political Federation ili EAC ikamilike kwa 100% ila kwa huu Upuuzi uliochanganyika na Unafiki wetu na Chuki zetu sioni Ukamilifu huu wa Kimalengo kwenda Kutimia na baadae kila nchi itaamua kuendelea na yake.
Wenye Akili tuliliona hili zamani mno.
Huna Akili na ndiyo maana huwa nawadharau baadhi ya Watanzania. Tokea Miezi kadhaa iliyopita mwaka huu Uganda kupitia Mtoto wa Rais Museveni Muhoozi Kainerugaba kwa Niaba ya Baba yake alienda Rwanda Kuzungumza na Rais Kagame na Kumaliza Mgogoro wao na huo mpaka Kufunguliwa rasmi na hata BBC walifanya Coverage yake na Walipongezwa mno.Ni lini Uganda na Rwanda walisuluhisha migogoro yao, mpaka leo wawe marafiki!? hivi mpaka wa gatuna ulishafunguliwa?
Hilo Lipumbavu lilikuwa halijui pamoja na kujifanya lina Akili na linajua Masuala.Yeah ulifinguliwa alipo enda mwanamfalme toka uganda to Rwanda kukutana na mfalme wa Rwanda huko Kigali
comrade....umenifanya nisikitike sana aisee!!!...inawezekana rais samia amekaribishwa china ili azinduliwe akili kuhusu upuuzi huu wa wazunguTayari Tanzania, Burundi na Nusu ya Wakenya wanaisapoti Congo DR huku pia Uganda na Nusu ya Wakenya wakiisapoti Rwanda.
Wazungu ambao Siku zote hawataki Kuiona Jumuiya hii ya Afrika Mashariki ikistawi wamefanikiwa Kutugombanisha na kwa Uzuzu wa Wanaogombanishwa wamekubali Kuingia katika huu Mtego wa Kimkakati.
Hivi kwa Miradi mingi ya Kimaendeleo na Kimkakati Iiliyoko katika Jumuiya hii ya EAC mnadhani Congo DR na Rwanda (Wanachama wa EAC) zikiingia Vitani hawa Marafiki zao wakubwa Tanzania hatomsaidia Congo DR au Uganda haitomsaidia Rwanda?
Mnaacha kuwa Neutral katika huu Mzozo sasa Tanzania imeamua kuchukua upande kwa Kuisaidia Kisiri Congo DR kwa mategemeo ya kupata Tenda na Fursa nyingi za Kibiashara na hata Kumegewa kidogo Madini ya Congo DR Ili yawasaidie.
Na Uganda nayo vile vile (japo Kisiri) imeamua kuwasaidia Rwanda kwa ahadi ya Kufaidika na Madini ambayo kwa 60% yako upande wa Jirani na Taifa la Rwanda na chini ya Udhibiti mzuri wa Jeshi la Rwanda.
Saaa ni rasmi kuwa Vita ya Panzi huwa ni Furaha kwa Kunguru hivyo basi Mzozo huu wa Congo DR na Rwanda na kwa nchi za Tanzania na Uganda nao kuchukua upande wa Kuzisaidia ni Ushindi mkubwa kwa Wazungu ambao wametumia Akili Kubwa Kutugombanisha ili Jumuiya ya EAC isifanikiwe na waendelee Kutugawa ili tuendelee Kuwategemea huku Wao Wakitunyonya (hasa katika Rasilimali zetu) kutokana na Upan'gang'a (Upumbavu) tulionao.
Tulianza na Free Trade, kisha Customs Union, tupo njiani kwenda katika Monetary Union kisha tumalize na Political Federation ili EAC ikamilike kwa 100% ila kwa huu Upuuzi uliochanganyika na Unafiki wetu na Chuki zetu sioni Ukamilifu huu wa Kimalengo kwenda Kutimia na baadae kila nchi itaamua kuendelea na yake.
Wenye Akili tuliliona hili zamani mno.
Ina maana FARDC haina uwezo au imeshindwa kuilinda nchi yao..... viongozi wa Drc ni sehemu pia ya tatizo kwa kuwa na jeshi dhaifuFDLR ni kisingizio cha kuifunga FARDC isilinde amani ya nchi yao ili kuifanya M23 na RDF waendelee kuikalia Congo na kuiba rasilimali huku wakiumiza raia wasio na hatia
Uwezo wa Fdlr kuwa tishio kubwa kwa Rwanda ni wa kutiliwa shaka, nakubaliana kwa sehemu na wewe huenda uwepo Fdlr unatumika kama sababu ya kudumisha uwepo wa Rwanda huko Kivu na kuzuia kujitanua kwa ushawishi wa hasimu zake Uganda na Burundi.Diplomasia toka 1999 lakini haikuzaa matunda hivo tsheked anachofanya ni sahihi ifikie mambo yawe wazi na dunia ijue Rwanda ni sababu kuu ya kuvuruga amani ya Congo maana kama ni waasi vipo vikundi zaidi 40 lakini M23 ndio yenye nguvu ya kufanya full attack, popote ndani ya DRC kwakua ni jeshi la nchi nyingine ndani ya nchi nyingine
Uwezo wa Fdlr kuwa tishio kubwa kwa Rwanda ni wa kutiliwa shaka, nakubaliana kwa sehemu na wewe huenda uwepo Fdlr unatumika kama sababu ya kudumisha uwepo wa Rwanda huko Kivu na kuzuia kujitanua kwa ushawishi wa hasimu zake Uganda na Burundi.
Ila kitendo cha Drc kuruhusu majeshi ya Uganda na Burundi kuendesha operation huko Drc huku Rwanda ikiwekwa kando huenda imechangia kwa Rwanda kuanzisha upya huu uasi wa M23.
Count Capone Bukyanagandi mtu chake zitto junior
Ina maana FARDC haina uwezo au imeshindwa kuilinda nchi yao..... viongozi wa Drc ni sehemu pia ya tatizo kwa kuwa na jeshi dhaifu
Kesho Uganda ikikalia eneo la Tanzania kimabavu,kwa hiyo itasaidiwa na Rwanda kutupiga!!??EAC ipi hii ya Rais Samia wa Tanzania na Rais Ndayishimiye wa Burundi kumsaidia kwa Siri Rais Tshisekedi na Congo DR yake huku Rais Museveni nae wa Uganda akimsaidia kwa ukaribu mno Mdogo wake na Nduguye Rais Kagame wa Rwanda?
Hizo silaha anazopokea lazima zinapitia Kenya, hivyo Kenya kama mwanachama wa EAC akishirikiana na wenzake ana nafasi kushinikiza suluhu kwa huu mzozo.Uwezo wa kijeshi ni zaidi ya wingi wa askari kagame aliwekeza kwenye teknolojia sana huku akisaidiwa kusuka jeshi lake na marekani na Israel na kwa east Afrika ni Rwanda pekee hupokea msaada mkubwa wa kijeshi kutoka west,
Hizo silaha anazopokea lazima zinapitia Kenya, hivyo Kenya kama mwanachama wa EAC akishirikiana na wenzake ana nafasi kushinikiza suluhu kwa huu mzozo.
Kesho Uganda ikikalia eneo la Tanzania kimabavu,kwa hiyo itasaidiwa na Rwanda kutupiga!!??