Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Hii shida itatatuliwa na majeshi ya Sadeki,, Zimbabwe, Angola, zambiaMpaka sasa sijajua nini EAC inafanya katika kutatua mgogoro huu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii shida itatatuliwa na majeshi ya Sadeki,, Zimbabwe, Angola, zambiaMpaka sasa sijajua nini EAC inafanya katika kutatua mgogoro huu!
Suluhisho kikosi kazi kiingie misitu ya Congo Munusco ikapumzike imeshindwa Jukumu
Atajulikana anayewatuma wale waaasi
Inachosha Africa ya Waasi na makundi yanayotajwa ya kigaidi na jihadi zao za Kwenye machimbo ya Madini na Mafuta
Kwani Rwanda akiiba hayo madini anabaki nayo?, si anawateja wake wakubwa hao uliowataja wenye ndege zao hapo?
Umeona mambo hayo, sasa Rwanda itakubali conflict iishe kweli?Rwanda hana dhahabu amefanikiwa kujenga ALDANGO GOLD REFINERY ambayo ni kubwa East And Central Africa yaani process za dhahabu huishia hapo yaani kupitia hiyo refinery ataweza kupata hadi Mapato ya Dollar bilion 1.5 kwa mwaka, na dhahabu hiyo ni kutoka Congo hapo jumlisha anayoiba yeye, halafu kuna watu wenye migodi midogomidogo na ya kati watachimba Congo na kupeleka Rwanda kiwandani na kuamua kuuza tu pale pale maana tayari waliokua wanakimbilia Dubai au Canada au Australia watauzia kigali kwa bei nzuri matajiri watafungua ofisi zao kigali hivo kigali itageuka soko kubwa la kimataifa la dhahabu
View attachment 2404188
Wanalinda vipi amani bila kupigana kwa kuzuia majeshi hasimu kupigana?MONUSCO popote ilipo haiendi kupigana vita yenyewe kazi kubwa ni kulinda amani, japo wanaweza tu kujilinda kama ikitokea wameshambuliwa, hiyo ni kwa mujibu wa sheria za umoja wa mataifa, ndio maana kipindi kile Tanzania , malawi na south africa ndio zilipeleka kikosi maalumu chini ya mwavuli wa SADC ili kuichapa M23 , lakini askari wa Tanzania waliokua kwenye mission ya MONUSCO iwe Goma, Beni au Beni mavivi hawakuingia direct kwenye army ambush ya SADC,
Sidhani kama majeshi ndio suluhisho la kudumu maana miaka nenda rudi hayo mapambano hayajaleta amani, ni vyema diplomasia pia itumike.Hii shida itatatuliwa na majeshi ya Sadeki,, Zimbabwe, Angola, zambia
Sasa mbona Watanzania hamuwachukii hao Wengine ila Chuki yenu Kubwa ni kwa Rwanda, Rais Kagame na Watutsi? au kwakuwa wengi wenu ukiwepo ( ila siyo wote ) hamna Akili?Kwani Rwanda akiiba hayo madini anabaki nayo?, si anawateja wake wakubwa hao uliowataja wenye ndege zao hapo?
Nikusaidie tu ( tena kwa msaada wa BBC na Nipashe ya Radio One ) kuwa Wanajeshi ( Askari ) wa Tanzania walioko MONUSCO huko Congo DR hawatakiwi na Wakongo ( hasa wa Kivu, Goma na Beni ) kwakuwa Wanaua hovyo, Wanabaka bila Aibu na Wezi wa Madini ya Wakongo huko.MONUSCO popote ilipo haiendi kupigana vita yenyewe kazi kubwa ni kulinda amani, japo wanaweza tu kujilinda kama ikitokea wameshambuliwa, hiyo ni kwa mujibu wa sheria za umoja wa mataifa, ndio maana kipindi kile Tanzania , malawi na south africa ndio zilipeleka kikosi maalumu chini ya mwavuli wa SADC ili kuichapa M23 , lakini askari wa Tanzania waliokua kwenye mission ya MONUSCO iwe Goma, Beni au Beni mavivi hawakuingia direct kwenye army ambush ya SADC,
Ufaransa, Ubelgiji, Italy, Russia, South Africa na Tanzania ambao nao ni Wezi wa Madini ya Congo DR nao watakubali kweli hii Vita iishe?Umeona mambo hayo, sasa Rwanda itakubali conflict iishe kweli?
Amani maana yake Rwanda ifilisike, hawawezi kukubaliSidhani kama majeshi ndio suluhisho la kudumu maana miaka nenda rudi hayo mapambano hayajaleta amani, ni vyema diplomasia pia itumike.
Yaani nimchukie anaenunua TV ya wizi badala ya kumchukia mwizi?! Ni muda muafaka sasa ukaacha kutumia makalio kufanya kazi ya kichwa.Sasa mbona Watanzania hamuwachukii hao Wengine ila Chuki yenu Kubwa ni kwa Rwanda, Rais Kagame na Watutsi? au kwakuwa wengi wenu ukiwepo ( ila siyo wote ) hamna Akili?
Halafu wazungu wakiamua kuuingilia utasikia EAC,na AU,ndipo wataamka ohho,mambo ya Africa mtuachie wenyewe,wakati kwa sasa kila mtu anaogopa kujionyesha yupo upande upi,wakati mkorofi anafahamika miaka yote,Afrika ni wanafiki sana.Mpaka sasa sijajua nini EAC inafanya katika kutatua mgogoro huu!
Tatizo la hizo nchi ni utawala kwa mabavu.Tayari Tanzania, Burundi na Nusu ya Wakenya wanaisapoti Congo DR huku pia Uganda na Nusu ya Wakenya wakiisapoti Rwanda.
Wazungu ambao Siku zote hawataki Kuiona Jumuiya hii ya Afrika Mashariki ikistawi wamefanikiwa Kutugombanisha na kwa Uzuzu wa Wanaogombanishwa wamekubali Kuingia katika huu Mtego wa Kimkakati.
Hivi kwa Miradi mingi ya Kimaendeleo na Kimkakati Iiliyoko katika Jumuiya hii ya EAC mnadhani Congo DR na Rwanda (Wanachama wa EAC) zikiingia Vitani hawa Marafiki zao wakubwa Tanzania hatomsaidia Congo DR au Uganda haitomsaidia Rwanda?
Mnaacha kuwa Neutral katika huu Mzozo sasa Tanzania imeamua kuchukua upande kwa Kuisaidia Kisiri Congo DR kwa mategemeo ya kupata Tenda na Fursa nyingi za Kibiashara na hata Kumegewa kidogo Madini ya Congo DR Ili yawasaidie.
Na Uganda nayo vile vile (japo Kisiri) imeamua kuwasaidia Rwanda kwa ahadi ya Kufaidika na Madini ambayo kwa 60% yako upande wa Jirani na Taifa la Rwanda na chini ya Udhibiti mzuri wa Jeshi la Rwanda.
Saaa ni rasmi kuwa Vita ya Panzi huwa ni Furaha kwa Kunguru hivyo basi Mzozo huu wa Congo DR na Rwanda na kwa nchi za Tanzania na Uganda nao kuchukua upande wa Kuzisaidia ni Ushindi mkubwa kwa Wazungu ambao wametumia Akili Kubwa Kutugombanisha ili Jumuiya ya EAC isifanikiwe na waendelee Kutugawa ili tuendelee Kuwategemea huku Wao Wakitunyonya (hasa katika Rasilimali zetu) kutokana na Upan'gang'a (Upumbavu) tulionao.
Tulianza na Free Trade, kisha Customs Union, tupo njiani kwenda katika Monetary Union kisha tumalize na Political Federation ili EAC ikamilike kwa 100% ila kwa huu Upuuzi uliochanganyika na Unafiki wetu na Chuki zetu sioni Ukamilifu huu wa Kimalengo kwenda Kutimia na baadae kila nchi itaamua kuendelea na yake.
Wenye Akili tuliliona hili zamani mno.
Tanzania yako iko au haiko Mkuu?Tatizo la hizo nchi ni utawala kwa mabavu.
Mkorofi ni huyo Mwizi Rwanda, tuogope nini sasa na anafahamika kila sikuHalafu wazungu wakiamua kuuingilia utasikia EAC,na AU,ndipo wataamka ohho,mambo ya Africa mtuachie wenyewe,wakati kwa sasa kila mtu anaogopa kujionyesha yupo upande upi,wakati mkorofi anafahamika miaka yote,Afrika ni wanafiki sana.
Ashughulikiwe sasa!!!Jana nimewasikia wakongoman wanasema bora wajiondoe tu kwenye EAC kwani hawaoni faidi yoyote ile.Mkorofi ni huyo Mwizi Rwanda, tuogope nini sasa na anafahamika kila siku
Ni kweli, EAC inashindwaje kumshughulikia huyo Mwizi, hatuwezi kuendelea kulea vibaka ndani ya jumuiyaAshughulikiwe sasa!!!Jana nimewasikia wakongoman wanasema bora wajiondoe tu kwenye EAC kwani hawaoni faidi yoyote ile.
Ilikua n makosa makubwa kuiruhusu rwanda kuingia kwene EACTayari Tanzania, Burundi na Nusu ya Wakenya wanaisapoti Congo DR huku pia Uganda na Nusu ya Wakenya wakiisapoti Rwanda.
Wazungu ambao Siku zote hawataki Kuiona Jumuiya hii ya Afrika Mashariki ikistawi wamefanikiwa Kutugombanisha na kwa Uzuzu wa Wanaogombanishwa wamekubali Kuingia katika huu Mtego wa Kimkakati.
Hivi kwa Miradi mingi ya Kimaendeleo na Kimkakati Iiliyoko katika Jumuiya hii ya EAC mnadhani Congo DR na Rwanda (Wanachama wa EAC) zikiingia Vitani hawa Marafiki zao wakubwa Tanzania hatomsaidia Congo DR au Uganda haitomsaidia Rwanda?
Mnaacha kuwa Neutral katika huu Mzozo sasa Tanzania imeamua kuchukua upande kwa Kuisaidia Kisiri Congo DR kwa mategemeo ya kupata Tenda na Fursa nyingi za Kibiashara na hata Kumegewa kidogo Madini ya Congo DR Ili yawasaidie.
Na Uganda nayo vile vile (japo Kisiri) imeamua kuwasaidia Rwanda kwa ahadi ya Kufaidika na Madini ambayo kwa 60% yako upande wa Jirani na Taifa la Rwanda na chini ya Udhibiti mzuri wa Jeshi la Rwanda.
Saaa ni rasmi kuwa Vita ya Panzi huwa ni Furaha kwa Kunguru hivyo basi Mzozo huu wa Congo DR na Rwanda na kwa nchi za Tanzania na Uganda nao kuchukua upande wa Kuzisaidia ni Ushindi mkubwa kwa Wazungu ambao wametumia Akili Kubwa Kutugombanisha ili Jumuiya ya EAC isifanikiwe na waendelee Kutugawa ili tuendelee Kuwategemea huku Wao Wakitunyonya (hasa katika Rasilimali zetu) kutokana na Upan'gang'a (Upumbavu) tulionao.
Tulianza na Free Trade, kisha Customs Union, tupo njiani kwenda katika Monetary Union kisha tumalize na Political Federation ili EAC ikamilike kwa 100% ila kwa huu Upuuzi uliochanganyika na Unafiki wetu na Chuki zetu sioni Ukamilifu huu wa Kimalengo kwenda Kutimia na baadae kila nchi itaamua kuendelea na yake.
Wenye Akili tuliliona hili zamani mno.
Unataka kuniambia haya ya East Africa hayatofua dafu?Hii shida itatatuliwa na majeshi ya Sadeki,, Zimbabwe, Angola, zambia