Kwa Mzozo huu wa Congo DR na Rwanda nani ananibishia kuwa EAC haiendi kufa na Wazungu kufurahia?

Ujinga wetu tuwasingizie wazungu . Kweli ?!
 
Umeandika mengi ila kifupi tu; Lilikuwa kosa kubwa kuikaribisha nchi yako ya Rwanda EAC. Kama kuna mkakati wowote wa mabeberu kuivuruga EAC basi Rwanda ndiye kibaraka wao.
 
tatizo watusi kwa vile wana pua kama msumari wanajiona ni wazungu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni aibu kubwa sana kwa kiongozi puppet wa west.
Africa mashariki inamfahamu na kamwe Great lakes haitakua salama until “the Axis of Evil is down”
Killing fellow africans for minerals sasa hapo kuna tofauti gan na shetan.
Ni suala la muda
 
huyo mr tall kamzidi shetani,manake mr tall anauwa waafrika wenzake,lakini shetani hauwi mashetani wenzake!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…