Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nadhani wasemaji wa serikali katika sekta mbalimbali waanze kuwa wachunguzi kabla ya kutoka kusema. Issue ya mabehewa Gerson alikuwa na uwezo wakuwaachia TRC wapambane nayo kupitia Afisa habari wao lakini yeye alibeba Bango nakuwa mstari wa mbele.
Leo hii Yale yaliyosemwa na jamii ndiyo yanayozungumzwa na wasomi pamoja na taasisi za uchunguzi nchini. Kuvunjwa Kwa Bodi maana yake Ile stupid imewagusa wengi hasa wale walioshindwa kuisemea Kwa Haki serikali.
Naamini pamoja na kwamba Gerson anaweza akawa ANATEKELEZA MAJUKUMU YAKE kimkakati ila ametupotosha Sana ; anakosa uwezo wakuchunguza nakusoma alama za nyakati kuhusu nini aseme na lini.
Nchi nyingine msemaji WA serikali ujitokeza adharani pale Tu panapolazimu na baada ya wasemaji WA sekta kugonga mwamba......Natabiri Gerson soon atapangiwa majukumu mengine kumsaidia kutolazimika Kula matapishi yake.