dogo unachemka hapa! Umeanzisha hoja na Kisha unataka kuchagua wa kuichangia? Huna mamlaka hayo na Kama vipi anzisha jukwaa lako!Kwa nini usikae kimya? Kwani lazima uchangie hata suala ambalo hulielewi?
Wewe unaelewa Nini juu ya ukaguzi? Umeng'ang'ana na query tu bila kujua hizi ndio msingi wa kuujua ukweli! Unadhani hizo kamati za bunge zitavamia wizara zilizotuhumiwa bila kuwa na pa kuanzia?
Ulishawahi kufanya research yoyote? Kama bado tulia uelekezwe!