Kwa namna hii upinzani Tanzania bado sana. Wanatakiwa wajifunze siasa sio propaganda uchwara. Siasa ni sayansi

Kwa namna hii upinzani Tanzania bado sana. Wanatakiwa wajifunze siasa sio propaganda uchwara. Siasa ni sayansi

Kwa nini usikae kimya? Kwani lazima uchangie hata suala ambalo hulielewi?
dogo unachemka hapa! Umeanzisha hoja na Kisha unataka kuchagua wa kuichangia? Huna mamlaka hayo na Kama vipi anzisha jukwaa lako!

Wewe unaelewa Nini juu ya ukaguzi? Umeng'ang'ana na query tu bila kujua hizi ndio msingi wa kuujua ukweli! Unadhani hizo kamati za bunge zitavamia wizara zilizotuhumiwa bila kuwa na pa kuanzia?

Ulishawahi kufanya research yoyote? Kama bado tulia uelekezwe!
 
Ndio maana naambie tulieni kwanza acheni kupotosha mpaka ukweli ujulikane kama kuna ufisadi au vipi, sio kuzua uongo kabla dukuduku halijajibiwa.
 
Ndio maana naambie tulieni kwanza acheni kupotosha mpaka ukweli ujulikane kama kuna ufisadi au vipi, sio kuzua uongo kabla dukuduku halijajibiwa.
Hivi kwa mfano kutumia fedha bila kupitishwa Na bunge tusubiri nn? Huu Ni uhalifu.
 
dogo unachemka hapa! Umeanzisha hoja na Kisha unataka kuchagua wa kuichangia? Huna mamlaka hayo na Kama vipi anzisha jukwaa lako!
Wewe unaelewa Nini juu ya ukaguzi? Umeng'ang'ana na query tu bila kujua hizi ndio msingi wa kuujua ukweli! Unadhani hizo kamati za bunge zitavamia wizara zilizotuhumiwa bila kuwa na pa kuanzia?
Ulishawahi kufanya research yoyote? Kama bado tulia uelekezwe!
Kama mada iko hujaielewa bora ukae kimya hicho ndio maanisha sijabagua mtu.
 
Iondolee CCM nguvu ya dola usikie kama watasema siasa ni sayansi. Unapaswa kuwapongeza wapinzani walipofikia katika mazingira tuliyonayo ya kisiasa. Kiukweli ni kwamba tuna superficial mult party system. Na kwa uungwaji mkono wanaoupata wapinzani ni dhairi chama tawala kimechokwa! Simple logic ni kwamba hata huyu Rais aliyeko madarakani aliiingia kwa kampeni za kiupinzani.
Umeandika sahihi kabisa, ili mtu atambue hili sharti awe na Afya njema ya Akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu, chama dola ni chama dola tu. Ccm wanatumia dola vizuri, Polisi wanalinda raia na mali zao.Ndio maana unaona usalama umeimarika sana. Takukuru wanadhibiti rushwa na ubadhirifu,leo tu wameokokoa zaidi ya bil 80 . Magereza nao wanatimiza wajibu wao, ndio maana watu wakiingia restricted area wanakula virungu mpaka wanakiona cha moto. Hao wengine Majibu unayo maana nafikiri unajua kinachoendelea.
Unachekesha Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi sio tuhuma za ufisadi. Ni au Audit queries kama ile tril 1.5 mliosema imepigwa kumbe uongo. Ndio maana nawaambia tulieni taratibu zifuatwe ili tujue ukweli.

Pesa zote za Umma zinataratibu zake za matumizi Usiipo fuata taratibu zake na kuonesha uhalali wa matumizi hayo huo ni Ufisadi.

1.5 Tirion CAG alisema hajaona imetumikaje. Sasa kama pesa haipo na ktk matumizi haionekani utasemaje Jiwe sio mwizi? Kama JIWE hakuiba aioneshe 1.5 tirioni yetu iko wapi? Jiwe ni fisadi kama mengine tuu yanayojificha ktk kivuli cha kujifanya mzalendo na kugalagala ktk mawe

Yaani nikupe mfano mwepesi tuu ni sawa na wewe umempa mwanao hela akalipe Ada shuleni. Halafu ukienda shule unaambiwa Ada haijalipwa na pale hela ulipo iweka haipo. Ukimuuliza mwanao hela ile umeifanyia nini kama umelipa Ada niliyo kutuma nipe Risiti hana majibu. Sasa hilo toto lako sio jizi? Kwahiyo mfano huo ni sawa sawa na ukaguzi unao fanywa na CAG na kubainisha hayo madudu kuwa CCM wamekubuhu ktk wizi na utapeli wa mali za umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mada iko hujaielewa bora ukae kimya hicho ndio maanisha sijabagua mtu.
Hujui unataka Nini! Na huelewi Kama huelewi! Hoja yako ni ipi? Kama ni cdm au ni query za cag au ni ufisadi au blah blah? Tatizo umesimama kama nyani yaani umesimamia mikono na miguu kwa maana ya kuisakama cdm na ufisadi na huku ukiwaonya wapinzani na cag kwa pamoja! Hueleweki unataka kusema Nini!
 
Lituye, Yaani hata bunge huwa huangalii? Kwa hiyo alichojibu Naghenjwa Kaboyoka hujui? Halafu unakuja kifua mbele na mifano ya ada. Uwe unafuatilia mambo kabla ya kukurupuka.
 
Kumbe kuna watu wa Shahada ya Siasa!
Siasa ni Sayansi..Politics is Science duuh
Bora nisomee Political Science mimi ila siyo Politics is Science
 
Hahaaha umesahau mabilioni ya pesa yaliyofisadiwa na chama chako kulingana na ripoti ya CAG Assard..mmeshasahau majinga Sana...mnakurupuka Kama vibwengo
Mezani tunajadili ripoti ya CAG Assad au Kichere? Hii ni dalili CCM imewakaba sana mpaka mnaropoka mauongo tu. Kuweni kama NCCR Mageuzi hawana papara.
 
Du!!! Watanzania kumbe bado tunasafari ndefu Sana

Sitaki kuamini kuwa mpaka leo kuna watu wanaojua kusoma na kuandika na wamo humi JF wamechanganyika na ma'GT wengine lakini mpaka sasa hawajui Nini maana ya SIASA, hawajui kwa nini kuna vyama vya upinzani na malengo yake

Kaaaazi kwelikweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Ufisadi huo mnaoueneza ni wa kweli Mr GT?
 
Kumbe kuna watu wa Shahada ya Siasa!
Siasa ni Sayansi..Politics is Science duuh
Bora nisomee Political Science mimi ila siyo Politics is Science
Ukisomea hiyo utawasaidia sana jamaa zako. Maana wanaibua hata ufisadi usiokuwepo ili mradi tu kupata umaarufu. Na baada kumaliza kuisomea ndio utakuja kujua politics is science. Baadae sana. Maana utakuwa na uwezo wa kutofautisha Natural science na Social science. Any way mojawapo ya sababu ya kufeli ni pamoja na ...
 
chagu wa malunde, Mhola Mami . Usiwachagulie wapinzani wako cha kusema, kufanya na mikakati yao juu ya siasa . Kuanguka kwao Cdm ni furaha kubwa Lumumba street , sioni kwanini ukasirike. Hoja hujibiwa kwa hoja. Serikali itetee hoja zake dhidi ya CAG

Halafu serikali kutuhumiwa ni sawa tu Chagu. Pesa wanazotumia serikali ni hazina ya umma. Na Cdm kama wapinzani wanayo haki ya kuilinda hazina dhidi ya matumizi mabaya (ni kazi yao). Usione kama mnaingiliwa

Odhis *
 
CCM wangekuwa wanajua kwamba siasa ni sayansi wasingekuwa wanahangaika na kuforce kupita bila kupingwa kwenye chaguzi.
 
Back
Top Bottom