Kwa namna hii upinzani Tanzania bado sana. Wanatakiwa wajifunze siasa sio propaganda uchwara. Siasa ni sayansi



Ni kweli siasa ni sayansi na husomewa kama ile aliyotumia Bashite ya kujibadilisha jina na kujiita Makonda kwenye vyeti vyake feki
 
Na CCM sayansi mnayojua ni mabavu ya dola wauaji wakubwa nyie,wekeni uwanja sawa muone tutakavyowanyoosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yangu mimi nipo neutral nazungumzia uhalisia wa mambo tu. Kunihusisha na CCM unakosea sana. Wakati wa uchaguzi NEC hufanya kazi kwa mujibu wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi. Ndio maana vyama vyote mnaweka mawakala ngazi zote kuanzia kituoni, mpaka jimboni na hata Taifa kwa ngazi ya uraisi. Matokeo huwa hayatoki mpaka mawakala na wagombea waridhike na kusaini. Na matokeo huwa yanabandikwa kila hatua kuanzia kituo hadi hatua za mwisho. Sasa hawa jamaa wa CCM kuwashinda kabla hata ya mtanange msianze kusingizia tume haiko huru.
 
Chanzo cha tatizo kinapoonekana siyo tatizo. Sijui shuleni mlisomea ujinga? Ukishajua viterminology vya kihasibu unajiona makaguzi wa hesabu, ukijua viwili vitatu vya kisheria unajiona Nguli wa sheria!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Au ulitaka hawa jamaa wapotoshe umma kwamba kuna ufisadi kabla hata queries hazijafikiwa conclusion?
 
Querres Za miaka 3 mfululizo hazijajibiwa pia kila mwaka makosa yamejirudia ya upigaji na upotevu wa Kodi zetu tena kwa watu wa karibu na hatua hazichukuliwi huku wapigaji wajifichia kwenye kusifu na kuabudu kama kinga ya utumbuzi,je tuamini ule ukali ni wa kwenye camera tu wa kuwatisha wengine huku nyuma ya paxia wa karibu wakijisaazia tu.
 
Unazungumza kama wwe ni mgeni uko nje ya nchi
 
Magereza kuwapiga wabunge wanawake viumbe Dhaifu kwako umeona ni sifa? Kama Serikali hii inatengeneza pesa Mbona imeshindwa kupandisha kima cha watumishi wa umma? Takukuru Mbona hawaendi kukagua ununuzi wa Ndege? Takukuru Mbona hawakagui hesabu za ujenzi wa flyover, Reli, bwawa la umeme, ujenzi kiwanja cha Ndege chato?
 
Hizi sio tuhuma za ufisadi. Ni au Audit queries kama ile tril 1.5 mliosema imepigwa kumbe uongo. Ndio maana nawaambia tulieni taratibu zifuatwe ili tujue ukweli.
Ukweli upi? CCM ukoo wa panya mnalindana ukweli upo wapi? Mkweli alikuwa profesa Assad pekee na mkamfanyia hila atoke kisa alitaka kukagua hesabu za miradi yote mikubwa ikiwemo ofisi ya spika ndungai
 
hata wewe upo ki siasa zaidi,huna hoja zaidi ya mashambulizi yakipuuzi kwa wapinzani wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi habari za kuibua ufisadi wa uongo unatia kichefu kichefu sana.
Kichefuchefu kipi hicho? Uongo upi huo? Acha kulazimisha kichefuchefu ambacho hakipo, ujue watanzania siyo wajinga kama nyinyi watetezi wa CCM mitandaoni
 
Unauliza jibu. Huoni yanayofanyika hapa nchini? Au mpaka SGR ianze kufanya kazi ndio utambue.
Pesa za walipa kodi wajibu wake ni huo siyo Hisani hiyo kwani pesa ya ujenzi anaitoa mfukoni mwake binafsi?
 
Sasa wewe haupo kwa ajiri ya kujibu hoja. Umefilisika kwa hoja bora utulie lakinini sio kuleta mikwara mbuzi.
Wewe mwenyewe huna hoja umeamua kujiandikia ujinga ukazani humu kuna watu watakuona umejenga hoja, Tambua kuwa watanzania siyo wajinga
 
Watetezi wa CCM mitandaoni wanaidhalilisha CCM kwa kuleta Hoja za kishamba shamba kisha wanashindwa kusimamia hoja zao matokeo yake wanazidi kuandika ujinga na kuuliza maswali ya kijinga jinga na kutoa mifano ya kijuha tupu
 
Kama kuna ufisadi wameuona na wameukemea ni jambo jema.


Ila we jamaa ni kama vile umepanic,, bila shaka itakuwa kuna mahala figures zinakuhusu...

Basi nikutakie pasaka njema.[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wanajielewa basi?
Wao wanafikiri kupiga propaganda JF kwa story za kuchonga na mfululizo wa comments za kukosoa ndiyo vyama vyao vita panda chati.
Yaani wamejaza mamluki 24/7 kazi Yao ni kutukana serikali na kutukuza viongozi wa upinzani(wafalme).
Sijui lini watapata akili
 
Awalipwi wanasukumwa na hisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…