Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Rais Samia ndio hana nafasi kabisa ya kushinda uchaguzi. Maana kwa muda mfupi tu amedhibitisha ni wa rangi gani. Na baada ya miaka miwili atawauza Watanzania kabiasa na rasilimali zao.
Wabunge wa CCM wenyewe ndio hawatarudi karibu 80% maana aliyewabeba kuwaweka mjengoni alishatangulia mbele za haki na wakurugenzi wa kutangaza matokeo ya uongo watadhibitiwa.
Leo hii wapo kimya tu huku wakidharau wananchi bila kuwatetea