Kwa namna yoyote ile mwanaume usikubali kuishi kwenye nyumba au chumba kinachomilikiwa na mwanamke

Wapo Wanaume wenzetu wamefulia kabisa na wala hawana hata mpango wa kuhama kabisa

Ukiona mwanaume kafikia hatua hiyo ujue kipato chake kimeyumba

Na ukiona mwanamke umekubali kuolewa mke wa pili au 3 basi ujue anadhiki somewhere

So kupanga ni kuchagua
 
Haha watu wanapitia mapito makubwa Sana
Hata unapitia magumu kwani wewe huna kwenu.....
Kwanini ujibanze ukweni ukidharirika.,...si Bora urudi kwenu kijijini ukajipange upya
 
Ukiona mwanaume kafikia hatua hiyo ujue kipato chake kimeyumba

Na ukiona mwanamke umekubali kuolewa mke wa pili au 3 basi ujue anadhiki somewhere

So kupanga ni kuchagua
Hata kama ndugu lakini kwa mwanaume haijakaa poa kabisa
 
Hivi unawezaje kukaa Kwa mwanamke aisee
Inashangaza lakini pia nadhani mwanaume timamu wa akili hawezi kufanya hivyo......naona wanaofanya hivyo kama wana shida kwenye matumizi Yao ya akili
 
Yeye mwanaume anakubali vipi kukaa ukweni miaka 15? Si uchuro huo.
Mwanzo unaweza ukaona udhia lakini Ile comfortability inaweza kukufanya unajisahau kuja kuhamaki imeisha miaka ishirini hivi hivi
 
Mario wanaochezea Shangazi FC hawawezi kukuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…