Kwa namna yoyote ile mwanaume usikubali kuishi kwenye nyumba au chumba kinachomilikiwa na mwanamke

Wana tamaa sana aisee πŸ˜…πŸ˜… ,anaweza wakusanya ata watano wote wanahudumia na wanakula kwa wakati tofauti.siku kikinuka ni balaa,mwanamk wa kumuamin kuishi kwake ni Mama mzazi tu aiseeπŸ˜…πŸ˜…
 
Wanaume tupambane sana kwenye hili,wanaume huwa wananyanyasika sana,ila wengi huwa wanaificha hii aibu.Imagine unaambiwa funga hiyo nyumba nikute funguo zangu hapo,au naweza kukufukuza saa yoyote kwanza hii nyumba sio yako,yani huwa linapotokea sekeseke ndani ya nyumba anachokimbilia ni kudefend mali zake kwa njia yenye manyanyaso sana.Nakumbuka jamaa yangu aliwahi kufukuzwa kama Mbwa,akaambiwa usikanyage tena hapa sio kwako.....
 
Mwambie mshikaji wako aende mahakamani akafunguwe kesi ya talaka,baada hapo itakuja kesi ya kugawana mali na watoto, miaka 15 mingi sana lazima Mahakama intamfikiria, siku hizi haki sawa kwa wote,Mwambie awai kituo jumuishi mirathi na ndoa atapata haki zake aache kulia kulia!!
 
Wana tamaa sana aisee πŸ˜…πŸ˜… ,anaweza wakusanya ata watano wote wanahudumia na wanakula kwa wakati tofauti.siku kikinuka ni balaa,mwanamk wa kumuamin kuishi kwake ni Mama mzazi tu aiseeπŸ˜…πŸ˜…
Kwakweli
 
ngoja yawakute
Kuna siku moja natoka geto nikakutana na mshikaji wangu mmoja alikuwa ametokea Kama kichochoroni hivi, nilivyokuwa napita, akaniita, akaniambia oyaa njoo, nafika pale marchingulia kichochoro namuona jamaa yupo mle kichochoroni ana kitaulo tu, nilishangaa sana.

Sasa ndo jamaa ananimbia ongea na mshikaji, jamaa aniambya oya kaka naomba nisaidie nguo zozote tu nijisitiri, nimefumaniwa hapa unavyoniona nimetokea mlango wa nyuma, nilimuonea huruma na hasira yule jamaa Kwa wakati moja, lakini nilivyosukumwa na Hali ya ubinadamu ilibidi tu nimsaidie.

Lakini bado vijana hawasikii.
 
Mwanaume inabidi upambane kumiliki 100% ya mali zako, hata mwanamke inabidi awe miongoni mwa hizo100% (namaanisha na yeye awe ni mali, yaani uamue aweje) nafikiri naeleweka hapa.

Huu ni mfume dume ambao MUNGU mwenyewe aliuanzisha, wanaume tunavunja miiko ya aliyotuwekea MUNGU na tunapotoshwa na Mambo ya kisasa. MUNGU alisema mwanaume atamtawala mwanamke, MUNGU amesema uonevu uko wapi.

Ndiyo maana mwanaume ameumbwa na sauti nzito, Angalia Simba anavyoogopwa msituni, akinguruma inakuaje?

Mwanaume usikae kinyonge pambana. ........"wanaume Nguvu moyaπŸ’ͺ
 
dahπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na siku nyingine akiitwa ataenda tena
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nakushauri ujiandae kwa lolote na muda wowote unaweka bond wowowo lako..!
 
Duh lakini hapa kwa baba mkwe kuna kila kitu hadi bili ya umeme na maji anatulipia, sasa itakuaje? Mnaniumiza kichwa asee.
 
Na baba angesema "nawewe ondoa kiwanja chako, bakisha nyumba yangu"
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nakushauri ujiandae kwa lolote na muda wowote unaweka bond wowowo lako..!
Mkuu nikisema haiwezekani, elewa namaanisha.

Hii dunia siyo ya wadudu ama wanyama, niwe najiandaa kuyala mawindo yangu au hata nimeshayala kabisa, eti namimi niwe nimetagetiwa kuliwa!

Hilo haliwezekani title ya kugegeda ni yangu si rahisi niporwe na mpumbaf mmoja kuupoteza wadhifa huo, naua mtu nikafie jela, nakuapia.
 
nimewahi shuhudia hiki kitu mazee hii ni mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…