KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
- Thread starter
- #61
Ni jambo baya sana kwa mwanaume kwani mwanaume ni mamlaka kamili....Dah kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jambo baya sana kwa mwanaume kwani mwanaume ni mamlaka kamili....Dah kweli
ngoja yawakuteMimi nawaambiaga washkaji zangu Ila wanachukulia utani but most of time wanaona ndo ujanja.
Wana tamaa sana aisee 😅😅 ,anaweza wakusanya ata watano wote wanahudumia na wanakula kwa wakati tofauti.siku kikinuka ni balaa,mwanamk wa kumuamin kuishi kwake ni Mama mzazi tu aisee😅😅Hapa ninapoishi yaani nyumba niliyopanga Ina vyumba viwili lakini imejengwa kisasa na Ina geti ndani unaweza kupaki gari ndogo.
Hapa naishi na dada Fulani ni muhudumu wa afya kwenye hospital moja hivi hapa dar, huyu dada nimeshuhudia akivusha Mara kadhaa hivi na ni washkaji tofauti tofauti, Sasa huwa najiuliza anawapangiliaje😀
Na ni nani anayelipa Kodi? What if siku moja treni zikakutana kati Kwa kati? Demu anatamani sana siku moja nimuombe mchezo lakini nikiwaza naona hapana, Kuna bili ya maji, Kuna bili za umeme hapa Kuna pesa ya nataka ya kila mwezi, kwakweli sitaki kuingia kwenye mfumo.
So siwezi kufikia stage nikamuamini mwanamke mpaka kulala geto kwake.
Wanaume tupambane sana kwenye hili,wanaume huwa wananyanyasika sana,ila wengi huwa wanaificha hii aibu.Imagine unaambiwa funga hiyo nyumba nikute funguo zangu hapo,au naweza kukufukuza saa yoyote kwanza hii nyumba sio yako,yani huwa linapotokea sekeseke ndani ya nyumba anachokimbilia ni kudefend mali zake kwa njia yenye manyanyaso sana.Nakumbuka jamaa yangu aliwahi kufukuzwa kama Mbwa,akaambiwa usikanyage tena hapa sio kwako.....Habari za muda huu,
Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.
Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na makazi yake mwenyewe kunaweka tafsiri ya mambo mengi sana chanya dhidi yake bila kujali ubora au Hali ya makazi hayo.
Mwanaume unapokubali kwenda kuishi kwa mwanamke au ukweni kwa mkeo unakuwa umejondoa nusu ya uanamume wako sio tu kwa mkeo bali hata kwa wanao.
Tunatambua kuwa maisha wakati mwingine yanaleta changamoto za hapa na pale lakini ni jitahidi hilo jambo la makazi kulipambania mpaka dakika ya mwisho.
NB; Nimeshuhudia kijana hapa akidhalilishwa kwenye mji wa mkewe waliyezaa nae watoto watano na miaka zaidi ya 15 kwenye ndoa kwa kweli nimejisikia vibaya kama mwanaume.
Mwambie mshikaji wako aende mahakamani akafunguwe kesi ya talaka,baada hapo itakuja kesi ya kugawana mali na watoto, miaka 15 mingi sana lazima Mahakama intamfikiria, siku hizi haki sawa kwa wote,Mwambie awai kituo jumuishi mirathi na ndoa atapata haki zake aache kulia kulia!!Habari za muda huu,
Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.
Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na makazi yake mwenyewe kunaweka tafsiri ya mambo mengi sana chanya dhidi yake bila kujali ubora au Hali ya makazi hayo.
Mwanaume unapokubali kwenda kuishi kwa mwanamke au ukweni kwa mkeo unakuwa umejondoa nusu ya uanamume wako sio tu kwa mkeo bali hata kwa wanao.
Tunatambua kuwa maisha wakati mwingine yanaleta changamoto za hapa na pale lakini ni jitahidi hilo jambo la makazi kulipambania mpaka dakika ya mwisho.
NB; Nimeshuhudia kijana hapa akidhalilishwa kwenye mji wa mkewe waliyezaa nae watoto watano na miaka zaidi ya 15 kwenye ndoa kwa kweli nimejisikia vibaya kama mwanaume.
KwakweliWana tamaa sana aisee 😅😅 ,anaweza wakusanya ata watano wote wanahudumia na wanakula kwa wakati tofauti.siku kikinuka ni balaa,mwanamk wa kumuamin kuishi kwake ni Mama mzazi tu aisee😅😅
Kuna siku moja natoka geto nikakutana na mshikaji wangu mmoja alikuwa ametokea Kama kichochoroni hivi, nilivyokuwa napita, akaniita, akaniambia oyaa njoo, nafika pale marchingulia kichochoro namuona jamaa yupo mle kichochoroni ana kitaulo tu, nilishangaa sana.ngoja yawakute
Mwanaume inabidi upambane kumiliki 100% ya mali zako, hata mwanamke inabidi awe miongoni mwa hizo100% (namaanisha na yeye awe ni mali, yaani uamue aweje) nafikiri naeleweka hapa.Wanaume tupambane sana kwenye hili,wanaume huwa wananyanyasika sana,ila wengi huwa wanaificha hii aibu.Imagine unaambiwa funga hiyo nyumba nikute funguo zangu hapo,au naweza kukufukuza saa yoyote kwanza hii nyumba sio yako,yani huwa linapotokea sekeseke ndani ya nyumba anachokimbilia ni kudefend mali zake kwa njia yenye manyanyaso sana.Nakumbuka jamaa yangu aliwahi kufukuzwa kama Mbwa,akaambiwa usikanyage tena hapa sio kwako.....
dah😂😂😂 na siku nyingine akiitwa ataenda tenaKuna siku moja natoka geto nikakutana na mshikaji wangu mmoja alikuwa ametokea Kama kichochoroni hivi, nilivyokuwa napita, akaniita, akaniambia oyaa njoo, nafika pale marchingulia kichochoro namuona jamaa yupo mle kichochoroni ana kitaulo tu, nilishangaa sana.
Sasa ndo jamaa ananimbia ongea na mshikaji, jamaa aniambya oya kaka naomba nisaidie nguo zozote tu nijisitiri, nimefumaniwa hapa unavyoniona nimetokea mlango wa nyuma, nilimuonea huruma na hasira yule jamaa Kwa wakati moja, lakini nilivyosukumwa na Hali ya ubinadamu ilibidi tu nimsaidie.
Lakini bado vijana hawasikii.
😂😂😂 Nakushauri ujiandae kwa lolote na muda wowote unaweka bond wowowo lako..!Hapo naona umepotosha mkuu, siliwi zaidi ya kumla yeye.
Hakuna sehemu mkongo wangu unasoma mbaya, kama kwenye chumba cha mwanamke, bila kujali ni chake au kapangishiwa na mhuni!
Kukaribishwa kwenye chumba hicho mambo mawili hunijia kichwani: bibie kanipenda sana kuliko huyo mpumbaf aliyempangishia chumba hicho.
Humuona mwenye huruma na anajiamini.
Mtego huo pekee hunifanya nihonge pakubwa nile padogo.
Wanaosema kunalimbwata, ijapo hawakosei lakini sababu kubwa ya kukamatika kwenye mapenzi hutokana na kuchezewa na mtu kisaikolojia.
Mkuu nikisema haiwezekani, elewa namaanisha.😂😂😂 Nakushauri ujiandae kwa lolote na muda wowote unaweka bond wowowo lako..!
Hakuna shida wewe endelea kukaa tuDuh lakini hapa kwa baba mkwe kuna kila kitu hadi bili ya umeme na maji anatulipia, sasa itakuaje? Mnaniumiza kichwa asee.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna baba alijenga kwenye kiwanja cha mkewe, walikuwa wakigombana, mke anamwambia ang'oe nyumba yake, amuachie kiwanja chake.