Kwa namna yoyote ile mwanaume usikubali kuishi kwenye nyumba au chumba kinachomilikiwa na mwanamke

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,185
Reaction score
37,239
Habari za muda huu,

Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.

Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na makazi yake mwenyewe kunaweka tafsiri ya mambo mengi sana chanya dhidi yake bila kujali ubora au Hali ya makazi hayo.

Mwanaume unapokubali kwenda kuishi kwa mwanamke au ukweni kwa mkeo unakuwa umejondoa nusu ya uanamume wako sio tu kwa mkeo bali hata kwa wanao.

Tunatambua kuwa maisha wakati mwingine yanaleta changamoto za hapa na pale lakini ni jitahidi hilo jambo la makazi kulipambania mpaka dakika ya mwisho.

NB; Nimeshuhudia kijana hapa akidhalilishwa kwenye mji wa mkewe waliyezaa nae watoto watano na miaka zaidi ya 15 kwenye ndoa kwa kweli nimejisikia vibaya kama mwanaume.
 
Habari za muda huu
Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini......na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.......

Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana....... mwanaume kuwa na makazi yake mwenyewe kunaweka tafsiri ya mambo mengi sana chanya dhidi yake....bila kujali ubora au Hali ya makazi hayo......

Mwanaume unapokubali kwenda kuishi kwa mwanamke au ukweni kwa mkeo unakuwa umejondoa nusu ya uanamume wako sio tu kwa mkeo bali hata kwa wanao........

Tunatambua kuwa maisha wakati mwingine yanaleta changamoto za hapa na pale lakini ni jitahidi hilo jambo la makazi kulipambania mpaka dakika ya mwisho.......

NB;
Nimeshuhudia kijana hapa akidhalilishwa kwenye mji wa mkewe waliyezaa nae watoto watano na miaka zaidi ya 15 kwenye ndoa.......kwa kweli nimejisikia vibaya kama mwanaume......
Naunga mkono hoja, na wazo zuri kukumbushana. Huwa nasikitika sana kwa kuona mwanaume mwenzangu kudharaulika mbele ya mboni zangu.

Limenigusa mno, mpe pole mchizi. Akaze vita bado ipo mbele.

Mkumbushe pia mwanaume mwenzetu, yakuwa kkao cha mwisho tulikubariana mwaka2025.

[emoji419]HAKUNA KURUDIA KOSA.
True Believer [emoji3578]
 
Habari za muda huu,

Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.

Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na makazi yake mwenyewe kunaweka tafsiri ya mambo mengi sana chanya dhidi yake bila kujali ubora au Hali ya makazi hayo.

Mwanaume unapokubali kwenda kuishi kwa mwanamke au ukweni kwa mkeo unakuwa umejondoa nusu ya uanamume wako sio tu kwa mkeo bali hata kwa wanao.

Tunatambua kuwa maisha wakati mwingine yanaleta changamoto za hapa na pale lakini ni jitahidi hilo jambo la makazi kulipambania mpaka dakika ya mwisho.

NB; Nimeshuhudia kijana hapa akidhalilishwa kwenye mji wa mkewe waliyezaa nae watoto watano na miaka zaidi ya 15 kwenye ndoa kwa kweli nimejisikia vibaya kama mwanaume.

Ukitaka ufanikiwe kwenye maisha ya mahusiano

Usifate ushauri wa mtu yoyote

Fanya kile Moyo wako unaona ni Sawa

Mwisho wa siku Maisha ni yako
 
Habari za muda huu,

Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.

Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na makazi yake mwenyewe kunaweka tafsiri ya mambo mengi sana chanya dhidi yake bila kujali ubora au Hali ya makazi hayo.

Mwanaume unapokubali kwenda kuishi kwa mwanamke au ukweni kwa mkeo unakuwa umejondoa nusu ya uanamume wako sio tu kwa mkeo bali hata kwa wanao.

Tunatambua kuwa maisha wakati mwingine yanaleta changamoto za hapa na pale lakini ni jitahidi hilo jambo la makazi kulipambania mpaka dakika ya mwisho.

NB; Nimeshuhudia kijana hapa akidhalilishwa kwenye mji wa mkewe waliyezaa nae watoto watano na miaka zaidi ya 15 kwenye ndoa kwa kweli nimejisikia vibaya kama mwanaume.
Kusaidiwa kupo wakati wa kujitafuta, lakini usikae sana 😜
 
Back
Top Bottom