Kwa nia njema kabisa, Rais Samia mfute kazi Waziri Makamba

Kwa nia njema kabisa, Rais Samia mfute kazi Waziri Makamba

Peleka watoto wako shule, Acha wivu umejiunga JF jana ili uje umshambulie Makamba kweli
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Makamba Hiyo Wizara yaweza Kuzima Ndoto zako za Urais
 
Samia,una habari Nchi ipo gizani?

Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa?

Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani?

Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako lkn umejipangaje kuwajibu Watanzania kwa maswali na wasiwasi wao tele kukuhusu kama ndiwe ama yupo mwingine ajaye?


Samia,Makamba ni sumu kuvu ndani ya uRais wako mfute kazi mara moja.
Vijana wa Lameck Mwigulu Nchemba tulieni haya mahesabu muda bado. Tutaenyeshana mpaka 2025 na bado mtashindwa.
 
Wakati makamba anaingia tulisema zile thread muweke ukumbusho..mikataba yakipigaji imeshaanza kinachofuata Ni mikataba mingine inakuja...then mikataba hii itaambana na nyongeza ya gharama plus kesi za kulipa mabilioni..Ni suala la muda tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Miradi imekaa mezani miaka halafu yeye anaisign Ndani ya mwezi wa kuanza .huyu jamaa mtoto wa awamu fulani ana lake
 
Back
Top Bottom