Kwa nilichoambiwa na ' Mpemba ' wangu juu ya mtanange wa leo wa Simba SC na TP Mazembe acheni nibaki nacho tu Moyoni

Kwa nilichoambiwa na ' Mpemba ' wangu juu ya mtanange wa leo wa Simba SC na TP Mazembe acheni nibaki nacho tu Moyoni

Wameshaishtukia Mkuu na Kimjini Mjini wanamichezo tunaiita 4-4-2 ambayo Simba SC imeiga kutoka kwa Timu za Al Ahly na Zamalek za Misri ambazo ndizo hutumia sana kama siyo mno hiyo mbinu pamoja na ile ya ' Tochi ' ambapo Watu Watano wanakaa Jukwaani juu kabisa na ' Tochi ' Maalum za Kichina ambapo wakati Mechi ikichezwa Usiku hao Watu Watano wote wanakuwa wanaimulika kwa Golikipa na ina ' Miale ' mikali mno ambapo lazima tu itamchanganya Kipa wa Timu pinzani. Bila hiyo ' Tochi kutumika Kumtoa AS Vita ingekuwa ni Ndoto na hata Yule Kipa wa Uganda ( The Cranes ) Onyango nae alipewa ' Dozi ' hiyo hiyo na ndiyo maana Magoli yale aliyofungwa hadi leo yanamuumiza na haamini.

Siku nyingine nitakuambia dawa ya Kujikinga na hizo ' Tochi ' kwa Kipa ambaye ' anamulikwa ' nazo hasa kwa mechi ambazo zinachezwa tu nyakati za Usiku. Mkuu Waarabu ni balaa na wana mbinu za ' Kimafia ' mno wawapo Uwanjani na sasa Simba SC tumewaiga vizuri na tunazipatia kweli hizo ' Mbinu ' zao za nje ya Uwanja.

Hii mbinu ya tochi nilianza kuiona kwa gemu za waarabu, na wanawalenga hata strikers, unapigiwa pasi wakati unahangaika kuicontrol unapigwa tochi moja mujarabu, tena ya rangirangi basi unaona nyotanyota mabeki wanaosha! Tumeiiga vizuri maana tuliitumia pia dhidi ya Soura na hata Vita na ilileta matumaini. Kuna mbinu nyingine kali huwa wanaitumia Orlando Pirates, mnacheza gemu saa tisa jua linapiga kwelikweli na hii inawafaa sana Waarabu, wanachemka mapema ulimi nje! Soka ni fitna!
 
Nashukuru kwa Kulijua hilo Mkuu. Hata hivyo inategemea na Kichwa na Kichwa. Naomba niishie hapa tafadhali.
Umeeleweka mkuu, ni kama dawa za antibiotics, mwingine zinamtibu, mwingine zinaweka resistance, pombe mwingine chupa mbili hoi wakati pierre anakata kreti na bado anadai!
 
Inaonekana Wewe ni Mgeni Kwangu pitia ' Threads ' zangu ambazo huwa nazileta hapa kuhusiana na huyu Mpemba wangu Kisha niambie ni ipi ' imefeli ' kisha rudi uniambie. Anza na za Mechi za Simba SC na Yanga FC kisha rudi kwa Timu ya Taifa Stars. au unataka sasa niweke hapa hadharani nini kinaenda kutokea leo Taifa ili ' Presha ' ikupande?
Kiweke tu wasi wasi wako ni upi
 
Unachokisema na huyo Mpemba nimekuelewa ila bahati nzuri tulikuwa tunatafuta kaburi 1 la chizi mpaka jana usiku tulishapata 3
Mazembe wasubiri kipigo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeshashtukiwa Mkuu na TP Mazembe wamekuja na Madaktari wao ' Maalum ' ili Kuchunguza zaidi na hata CAF nao wameleta Watu wao ' Kisiri ' kuja kuchunguza kama kweli Simba SC inatumia huu ' Umafia ' kwakuwa tayari Mezani Kwao wana Ripoti ya Malalamiko kutoka kwa AS Vita Club hivyo Simba SC kwa sasa wameamua ' Kuuchuna ' na kuwa makini ila kitakachofanyika leo ni ' Kuwaroga ' kupita Kiasi ila tatizo ni kwamba hadi hivi sasa Saa 7 na dakika 37 hii naandika hivi bado Jini halijampata Mtu mmoja wa ' Kumuua ' kwa ' Kafara ' ili Timu ishinde na muda ndiyo unaenda hivyo. TP Mazembe nao wamekuja wamejiandaa mno hasa Kiuchawi na kuna ' Mdudu ' mmoja wa ajabu wamekuja nae ambaye anatumika mno Kiushirikina.

Kama vipi wamalize kazi kwa Manara maana mechi hizi zinataka mtu mzito kidogo, wamtoe Manara, nusu fainali Pierre, Fainali yule bosi wa mkoa ambaye siku hizi naye mdau wa chama la wekundu..
 
Hamna kitu hapa mazembe lazma apigwe kama kawa
 
Le 11 de départ : Sylvain GBOHOUO - Godet MASENGO, Kevin MUNDEKO, Kabaso CHONGO, Joseph Benson OCHAYA - Christian Koffi KOUAME - Mika MICHE, Abdoulaye SISSOKO - Trésor MPUTU - Rainford KALABA, Jackson MULEKA

Banc : Ibrahim MUNKORO, Arsène ZOLA, Djos ISSAMA, Nathan SINKALA, Glody LIKONZA, Chico USHINDI et Meschak ELIA.
 
Wakitumia upande wa kushoto wa huyo mganda Ochaya ,Simba wanaweza kupita ,ila jamaa mzuri kwa kross ,

Mundeko mzuri kwa kona ,Simba hapa wasiwe wavivu kuruka , mputu a.k.a Tulle akabidhiwe mkude au kotei

Kazi iko kwa Kalaba mashabiki wa Mazembe wanamuita maestro
Le 11 de départ : Sylvain GBOHOUO - Godet MASENGO, Kevin MUNDEKO, Kabaso CHONGO, Joseph Benson OCHAYA - Christian Koffi KOUAME - Mika MICHE, Abdoulaye SISSOKO - Trésor MPUTU - Rainford KALABA, Jackson MULEKA

Banc : Ibrahim MUNKORO, Arsène ZOLA, Djos ISSAMA, Nathan SINKALA, Glody LIKONZA, Chico USHINDI et Meschak ELIA.

MTC | 101| [emoji769]
 
Back
Top Bottom