GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #81
Hahaha!! haters wote kimya
Tena walikuwa wanasubiria kwa hamu zote Mkuu ili Simba SC ishinde Siku ile ili waje sasa na nguvu zote waanze Kunidhihaki, Kuniponda na Kunishambulia ila bahati nzuri huyu ' Mpemba ' wangu hajawahi Kuniangusha katika ' Tabiri ' zake na mara nyingi sana kwa 99.999% huwa zinakuwa sahihi / kweli. Yaani huko waliko ' Haters ' wangu wote kama nawaona vile ' walivyoninunia ' Kudadadeki zao.