Kwa nilichoambiwa na ' Mpemba ' wangu juu ya mtanange wa leo wa Simba SC na TP Mazembe acheni nibaki nacho tu Moyoni

Kwa nilichoambiwa na ' Mpemba ' wangu juu ya mtanange wa leo wa Simba SC na TP Mazembe acheni nibaki nacho tu Moyoni

Jamaa wamegoma kumtoa kafara haji Manara ili washinde game ya leo wakafikiri bila spray wanaweza kushinda..
 
Hukuwaona wale Waliokufa Mkuu? Mpaka muda huu Jini letu la ' Kafara ' la ' Kuua ' Mtu / Watu bado halijampata Mwana Simba na Jamaa ( TP Mazembe ) kuna ' Mdudu ' hatari sana wamekuja nae na kwa wale ambao watakuwa jirani na Gari lao Uwanjani wawaangalie Watu wawili wote watashuka mwisho kuna Kitu cha ' Kishirikina ' watakifanya hapo Taifa ambacho kitashindana mno na Jini letu. Mechi ya leo ni 50 / 50 ila tukishinda ni bahati sana ila Sare ya 0 kwa 0 au 1 kwa 1 ndiyo ipo.
Kweli UCHAWI upo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpemba n mungu au

Pumbavu. Endeleeni hivyo hivyo Kunidharau na Kunipuuza ila GENTAMYCINE atabaki kuwa juu hata mfanyeje. Sijawahi kuleta hapa taarifa niliyopewa na huyu Mpemba na isiwe kweli na nilichokisema jana ni kuwa Mechi itakuwa ngumu sana kwa Simba SC na sababu nikaziweka na nikasema wazi wazi kuwa Mpemba kasema Ushindi wa Simba SC ni bahati mno ila kwa ' Utaalam ' wake kila alivyoiangalia ameona itaishia ama kwa Sare ya 0 kwa 0 au ya 1 kwa 1 na kama kuna Timu ambayo ingeshinda basi ingekuwa ni TP Mazembe tena kwa Ushindi wa Goli 2 kwa 0. Sasa nakuuliza Wewe na hao ' Wapumbavu ' wenzio je nilichokisema jana GENTAMYCINE kimetimia au hakijatimia? Mnapoambiwa kuwa Mimi ni " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " msiwe mnabisha. Nimebarikiwa ' Vipawa ' vingi tu na sijawahi ' Kubahatisha ' kwa kile ambacho huwa nakiandika hapa. Endeleeni tu Kunidharau / Kunipuuza ila ipo Siku mtatambuwa kuwa kuna vingi tu ambavyo ninawazidi ' Wapuuzi ' wakubwa nyie.

Na nilitaka nilete taarifa hapa hapa ambayo najua hakuna Mwana Simba SC yoyote anajua ya kwamba ni kwanini Mchezaji Mzambia Clatous Chota Chama Kiwango chake Kimeshuka hivi na bado kinaendelea Kushukuka na nani wa Kulaumiwa katika hili ila kwa sababu ya ' Upumbavu ' wenu wa Kujifanya mnanidhihaki na kunidharau siiweki hapa hii taarifa.

Na sina hiyo tu nina zingine mbili pia za kwanini Haruna Niyonzima amerudi kwa Kiwango chake kile Kikubwa tofauti na ilivyokuwa awali na nani alisababisha ile hali na yale Majeruhi yake aliyapataje. Kuna Watu wawili hapo Simba SC wanatakiwa wawashukuru mno kwa leo hii Haruna Hazikimana Fadhil Niyonzima kuwa hivi mtamu na kweli Fabregas.

Yanga FC kwa aina ya ' Tambiko ' lao Kubwa na Kali walilolifanya mwanzoni mwa Msimu wa Ligi ilikuwa Wao ndiyo wawe Mabingwa wa TPL kwa Msimu huu na walianza vyema kabisa ila kuna Watu Wawili ndani ya Yanga FC walienda Kinyume na Mmoja wao hivi naandika ni Chizi / Taahira kabisa kwani Kiapo Kimemgeuka.

Namalizia sasa kwa Kukuambia kuwa Bingwa wa TPL ni Simba Sports Club na Bingwa wa Azam Sports Federation Cup ( ASFC ) ni ama Azam FC au KMC au Lipuli FC ila Yanga FC ameshapotea katika Ligi ( TPL ) na hata huko ASFC pia atapotea. Na nakumbia mapema hapa hapa kuwa Yanga FC hawa hawa ambao leo hii wanamsifia Kocha Mwinyi Zahera ndiyo hawa hawa watamfukuza mwisho wa Msimu na kuna ' Fukuto ' kubwa la ' Mgogoro ' linakuja ndani ya Yanga FC siku si nyingi kuanzia sasa na hili ndilo ' litawapoteza ' kabisa na ' watafarakana ' mno.

This is GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.

Cc: mvuv , dudupori , koboG
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpemba amezidi kuwa mkweli kupita kiasi

Sent using Jamii Forums mobile app

Je nilichokisema na nilichohakikishiwa kwa 100% na huyo ' Mpemba ' wangu kimetokea au hakijatokea? Rudi nyuma kaangalie ' Threads ' zangu za kuhusu Timu ya Simba SC dhidi ya Yanga FC na nilichokuwa nakisema kabla baada ya kuambiw na huyu huyu Mpemba wangu. Kisha malizia na katika Mechi za Timu ya Taifa Stars kuna ' Threads ' mbili nilileta hapa ile ya mechi yetu na Lesotho Kwao na pia hata ile dhidi ya Uganda Cranes tena nikaweka na hadi Idadi ya Magoli kwamba Mpemba kasema kuna Goli 3 ama kwa 1 au kwa 0 Taifa Stars itashinda je Goli tulizowafunga Uganda Cranes hadi ' Tukafuzu ' tena AFCON tokea mwaka 1980 ni ngapi?

Endeleeni tu Kunidhihaki, Kunidharau na Kunipuuza ila This is GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE a.k.a
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer.
 
Ushaaza tabia zako za kikuda

Nilichokisema kimetokea au hakijatokea? Mpemba wangu hajawahi Kunipa ' Utabiri ' wake na usiwe wa kweli kwa 99.9999%. This is GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE a.k.a Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer.
 
SHIKAMOOO Genta na Mpemba wako

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna ' Wapumbavu ' kadhaa hapa Jamvini mnanichukulia ' Poa ' sana ila nawaambieni tu kwamba nilivyobarikiwa navyo na Mwenyezi Mungu hamtakuja kuwa navyo hadi Umauti wenu utakapofika. Endeleeni tu Kunidharau, Kunidhihaki na Kunipuuza ila nitabaki kuwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE a.k.a Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer hadi Kufa / Kufariki Kwangu.

Mpemba wangu huyu hajawahi kunipa Taarifa yake ya Uwongo na ninaheshimiana nae kupita Maelezo na bahati nzuri pia ni Mwana Simba Sports Club Mwenzangu. Na kwa msiojua ni huyu huyu Mpemba wangu ndiyo anazicheza mno Mechi za Yanga FC hadi sasa ' wamepoteana ' na Mechi za Simba SC hasa la Champions League hizi amezicheza mno na hata ile ya Jana na TP Mazembe alisema kabisa kuwa itakuwa ngumu kwa Simba SC na itaisha ama kwa Sare ya 0 kwa 0 au ya 1 kwa 1 na kama kuna Timu itashinda basi ni TP Mazembe kwa Goli 2 kwa 0. Kuna ' Mdudu ' mmoja mbaya sana ' Kiuchawi ' na ni mdogo Kimuonekano TP Mazembe walikuja nae na amewasaidia mno.

Tujifunze Kuheshimiana humu na acheni Kuwachukulia Watu poa poa. Mkuu hapa sikusemi Wewe bali nimeona niitumie hii ' Post ' yake Kuwapasha ' Wapumbavu ' kadhaa hapa ambao Kutwa wanajitahidi kutaka ' Kushindana ' nami kumbe wanasahau kuwa ' nimebarikiwa ' vingi sana na Mwenyezi Mungu halafu Silaha yangu Kubwa siku zote imekuwa ni ' Kujiamini ' na ninamshukuru Maulana / Mola kwa hilo.
 
Mkuu muulize mpemba marudiano itakuaje

Mmeshaniudhi na kuanzia leo hii sitosema tena ambacho nitakuwa nahabarishwa na huyu Mpemba kwani nimegundua kuna Watu ni ' Wapumbavu ' sana hapa Jamvini halafu mnapenda mno Kunichukulia poa poa wakati ukweli ni kwamba ' nimebarikiwa ' vingi tu kuliko Wao / Nyie. Endeleeni tu Kunidharau, Kunipuuza na Kunidhihaki ila nawahakikishieni kuwa Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE a.k.a Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer.

Wanafiki wakubwa nyie. Na najua wengi Wenu mlikuwa mmekaa tayari tayari kabisa ili kama ' Utabiri ' wa Mpemba wangu usingetimia mje hapa Kunishambulia na Kuniponda ila kwa bahati nzuri tu ni kwamba 99.9999% ya ' Utabiri ' ambao Mpemba wangu huwa ananipa ni sahihi.

Endeleeni sasa Kunidharau, Kunipuuza na Kunidhihaki ' Wapumbavu ' wakubwa nyie. Na nilitaka nije hapa na Taarifa ya kumuhusu Mchezaji Clatous Chama na Haruna Niyonzima ambayo pia Mpemba wangu huyu ameniambia ili wana Simba SC wafanye kurudisha Kiwango chake kwani kuna Watu wawili ndiyo Wamemmaliza mmoja ni Msanii wa Kike mkubwa sana na anaheshimika Tanzania ila ni mwana Yanga FC na mwana Simba SC mmoja aliye ndani kabisa ya Timu ila kwa ' Upumbavu ' wenu sasa nanyamaza Kimya hadi pale mtakapocha Kuwadharau Watu hapa Jamvini na mjue Kuheshimiana.
 
Mk

mkuu mi nakueshimu sana
Nafikiri unakosea sana kuhisi unadharaulika na kila mtu humu ndani
 
Mkuu kunjua moyo tuletee wana simba wenzio inshu ya Chama na Nyozima ..unajua hata Nabii huwaga hakubaliki kwao.wapo wataokuponda ila pia wapo wanaokukubali wakati mwingine.
 
Back
Top Bottom