Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

Kama huyo jamaa kaoa na karidhika, kwanini awe na demu nje?

Na kama hiyo pisi ya nje anataka itulie, kwanini asigawe talaka kwa mkewe?
Napenda watu wanaoona mambo kwa ukubwa.

😅😅😅😅 Wazee wa necha watakwambia mwanaume hawezi kuridhika.

Honestly sionagi mantiki ya malaya kwa malaya kushangaana na kupopoana mawe, like huyo Boss ni malaya, huyo mwanamke wake ni malaya vile vile wote hawaridhiki, takataka 🚮
 
Yani mume wa mtu anamwita mchepuko wake malaya wakati hata yeye ni malaya!
Nawahurumia sana watoto wake na mkewe.
 
Yani mume wa mtu anamwita mchepuko wake malaya wakati hata yeye ni malaya!
Nawahurumia sana watoto wake na mkewe.
Kwenye hili haujawahi kupindisha, nimekusoma mara nyingi sana! Ni kati ya wanaume wachache msioweka black and white kwa hili, mara nyingi ninyi ni watu wa haki, ni aghalabu kumuonea mtu.

Like anyone ambaye akili yake inafanya kazi vizuri anafahamu kuwa kwenye malaya wa kiume lazima kuwe na malaya wa kike, lawama za nini sasa! 😅
 
Ila baadhi yenu wanaume sijui mnajikuta nani.
Huyo rafiki yako ana mke wa ndoa takatifu lakini bado ana mchepuko nje tena anamfanya hadi kinyume na maumbile, halafu unaona hana hatia , mwenye hatia ni huyo mwanamke.

Washamba nyie tena Wazinzi.
Jamaa kazingua kutuletea ushamba wa boss wake
 
Ila baadhi yenu wanaume sijui mnajikuta nani.
Huyo rafiki yako ana mke wa ndoa takatifu lakini bado ana mchepuko nje tena anamfanya hadi kinyume na maumbile, halafu unaona hana hatia , mwenye hatia ni huyo mwanamke.

Washamba nyie tena Wazinzi.
Mtoa mada ndiye mwenye demu aliyejificha kwenye kichaka cha jamaa yake.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Mtu unamfira na bado unataka kuwa nae 😂

Unajua kabisa huyu mwanamke ni malaya ila bado unapambana umridhishe 😂

Kmmk wallah wanaume sometimes ni kama vile hatuna akili timamu aisee kmmk 🙌

Hiyo kumla Tigo ni kama alitaka kumkomoa . Na sidhan kwa sababu jamaa amekula Kisamvu basi ndio maana jamaa kadata na hiyo Pisi.

Kwa uzoefu wangu, Ishu hapa naona ni moja.

Demu ni mjanja kuliko Mwamba.
pisi itakuwa inajua code nying za kumteka mwanaume. Na jamaa hazijui ndio maana hawezi kuchomoka.

Ni kama vile ukutane na Mwanaume mwenye maneno ya kilaghai, na mjanja. Anaweza akawaunga tela wanawake hata wanne na wakajuana na wote wasiweze kumuacha Huyo mwanaume.

Sasa huyu Mwanamke. Ni wa namna hiyo. Ni Pisi na ni Mjanja, na kapata boya wa kumuendesha.
 
mpumbavu mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…