Well sioni mantiki yyte kuhusu uamuzi wako wa kuhairisha ndoa kwa sample ya mwanamke mmoja mjinga uka conclude wote wako sawa nae kitabia.
Katika maisha ya kila siku tunaona vitu kwa mitazamo miwili tu, kama: Nzuri/Mbaya, Joto/Baridi, Kushoto/Kulia, Juu/Chini... n.k...
Hivyo kila mtu ana mtazamo wake... sasa like a coin kuwa na bichwa na mwenge... ndo hivyo watu walivo kitabia, wapo wazuri kitabia na wabaya kitabia... hakuna mwenye tabia nzuri na mbaya kwa pamoja....
So kuna uwezekano huyo dada wa TRA akawa BICHWA na huyo girlfriend wako akawa MWENGE... alafu wewe una conclude ni BICHWA umekosea....