Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i dought too ,vinginevyo mtaa mzima ulikua unanuka maviUko ndani kwako mpaka harufu ya choo unaipata. Lizee? mbona umeandika kiwivuwivu, duniani kuna mambo!
n kwel hiyo harufu mi nkadhan choose kinapakuliwa kumbe bebi tiaraei anabanduliwa..........amaizini dought too ,vinginevyo mtaa mzima ulikua unanuka mavi
Ww utakuwa huna akili, kwani ilo ni jambo geni?kama huna mungu hayo tegemea tu, ushauri ni kuokoka na kuwa hofu ya mungu
Dip woooote!!!! Mm mwamninifu kwake
"Na Demu Akawasha Simu Na Kumpigia Hili Zee Tena Huku Akimuita Honey Na Kumwambia Kuwa Simu Aliizima Kwakuwa Iliisha Chaji Na Bado Yupo Mjini Hivyo Waonane Tu Kesho Asubuhi "...hayo maneno uliyasikiaje mkuu?
kuwa muongo inabid uwe smart sana.
Ovyooooo
Kwa namna yako ya kusimulia nakupa....LIKE
GENTAMYCINE
Pole kwa ulichoshuhudia Mkuu.
Ila sidhani Kama Leo Ndo Mara ya kwanza unatambua kuwa kuna watu wenye tabia hizo...naamini ulishaona mahali pengine au Hata ulishasikia mahali flani.
mimi binafsi sikushauri uendelee na uamuzi wako wa kutofungua Ndo au kubadili mademu Kama Mboga...huko ni kujiaribia maisha na unajiweka ktk risk zaidi.
Hitimisho;
Usiishi kutokana na influence za maisha ya watu, try to find yo own way to live....
Life is beautiful when u have common standing and yo own choice.
Niwekee kadi ya mchango wa harusi Kama vipi....
Aiseeh!! Kwahiyo umeshuhudia kwa macho yako mdada akifumuliwa JICHO LA HUZUNI?